Nigeria wanajuta kumchagua Buhari

Nigeria wanajuta kumchagua Buhari

Hata sisi mwakani tutasema hivo
Ngoja makontena yakome pale Kurasini
 
Lakini hao wanaijeria "wanaojuta" kumchagua Buhari walionyeshwa ITV?
Mimi nimeona ile ya Buhari kukiri nchi kuingia kwenye umaskini ghafla. La Wa Nigeria kujuta kumchagua sikuiona wala haikutangazwa hivyo,labda kama wewe unanilisha maneno,au wewe uliona habari hiyo ya Raia kujuta. Nilichoona ni Buhari kukiri kushuka uchumi wa Taifa lake.
 
Hata huyu atakiri tu
Huu uchawi sasa,hivi kwa nini mtu mweusi hata aitwe msomi bado tu ataendelea na tabia yake ya uchawi ,ama kweli tabia kama ngozi ya mwili na kuhitimu si mwisho wa ujinga,
Maana kama mod ana mchango wa namna hii,ama kweli ile 61% haikukosea.
 
Mimi nimeona ile ya Buhari kukiri nchi kuingia kwenye umaskini ghafla. La Wa Nigeria kujuta kumchagua sikuiona wala haikutangazwa hivyo,labda kama wewe unanilisha maneno,au wewe uliona habari hiyo ya Raia kujuta. Nilichoona ni Buhari kukiri kushuka uchumi wa Taifa lake.
Kichwa cha mada hii kinasemaje, au hujui kusoma Kiswahili?
 
Huyu Buhali si alikua upinzani, kumbe ndio ilivyo, Watanzania tusichague upinzani, mnaona naijeria
 
Kichwa cha mada hii kinasemaje, au hujui kusoma Kiswahili?

Soma nilichochangia mwanzon kabla ya kutokwa povu. Kichwa cha habari kimesema hayo uliyoyaona wewe,mimi nmechangia Rais mwenyewe kukiri kwa habari ilivyorushwa na itv,sasa kama mawazo yako yanakulazimisha hicho unachofikiri ni juu yako,ila siyo mm
 
imekuwa masikini ghafra lini ilikua Tajiri Nigeria hao hao leo wanasema ni Tajiri kuizidi South Africa ndio hao kesho wanageuka tena...
 
Back
Top Bottom