Kuna habari kuwa najeria itasambaratika 2030.Je. hizi zaweza kuwa dalili?Duh!! hiki ni kituko cha mwaka! Nigeria inataka kujitenga na AU then iwe continent.
Hawa ni watani wa jadi wa Ghana....... ukitaka ujue mengi ongea na akina Kwame.... watakujuza mengi..