Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 132
Serikali ya Nigeria inampango wa kuipitia upya na kuirekebisha mikataba yote ya uchimbaji wa mafuta kwaajili ya masilahi ya pande zote mbili. Nadhani move kama hii ingefanyika kwa Tanzania hasa secta ya madini. Habari zaidi ni kutoka BBC.