Mmnnnhhh...nchi kama North Korea ambayo wameiweka kwenye mkia kabisa walifanyaje research yao?...naanza kuwa na doubt...kingine ukizingatia kuwa wanachorecord ni perception...what if nchi inakuwa na raia cynical (e.g. Bongo) haiwezi ku affect results ukulinganisha na nchi ambayo corruption ipo lakini wananchi wanaogopa kusema chochote negative kuhusu serikali yao????????????