vidmate
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 693
- 1,221
Kwenye biashara ya dhahabu hiyo 12m kama eneo lina madini mengi unapata faida 3m na kuzidi kila wikiMilioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!
Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!