Nifundisheni jinsi ya ku update OS

Nifundisheni jinsi ya ku update OS

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Nataka wajuzi mnifundishe jinsi ya ku update os yangu ya samsung grand prime plus kua nougt7
 
Fuata hizi hatua
1.Setting >Sotware Updates Fungua hapo .
2.Bonyeza Manually Instally au ikishindikana Weka Automatically install .. iwe ON ila ukiona hujapokea kabisa Automatic install uweke OF baada ya Muda utapokea .. ila sina uhakika kama nazo zinapokea ANDROID 7.0
Screenshot_20180416-132757.jpg
Screenshot_20180416-132801.jpg
 
Samsung grand prime plus haipat update mkuu
 
Mimi mwenyew natumia hiyo hiyo nataka kubadili fonts zaid ya zile zilizoko kweny simu ila inagoma
 
Au ngoja tusubiri pengine kuna wajuzi zaidi
 
Back
Top Bottom