Nifundisheni jamani

Kumbe ni kweli usikihukumu kitabu kwa kuangalia jalada lake. Nikuangalia avatar yako, sikutegemea kama una maneno ya busara hivi. Haya mfunde kijana.

 
kama una uwezo mnunulie kitu ambacho alikuwa anakitaka sanaaaaaaa.....

Tahadhari mwenza akikosa ukatangaza kuachana, then ukaomba msamaha jiandae kuwa mtumwa wake

Naogopa Sana Hiyo!!
 
Inahusu Kabisa Hii!!
Mimi Nimedinda Kutorudi Aisee,Ingawa Nakumbuka Na Kuumia Sana Juu Yake!
Mtu Mmoja Kuumbwa Kwa Ajili Ya Kutesa Hisia Za Mwenzie!!?
MBAAYA SANA HII!
 
 
ulitoa mkwara kuwa wewe na yeye bhaaasss!!!
sasa tafuta mkwara mwingine wa kumrudia ili akufanye zombie hahahahaaa(msemo LARA1 )

unafikiri bhaas inasemwaga hivihivi eeenhhh...................:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
wewe umemfunia akimegwa na jamaa yako halafu na safari hii ni mara ya pili unataka kuridiana naye, akili hiyo?
 
Heh! Kosa moja haliachi mke babu weeeh! Koma kabisa
Ondoa ujinga huo huwez kuishi bila yeye kwan amekushikia pumzi..ukisikia uzoba ndo huo..mtu hawez kufanya kosa yeye then msamaha ukaombe wewe..u will be her slave for life...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Weh! Yaani umefanyiwa kitendo kichafu then unataka uombee msamaha wewe,ama kitendo hicho kichafu si hichi ninachokijua mimi?
Kama ndiyo kitendo hicho ninachokijua mimi then unataka kumuomba msamaha wewe bila shaka itakuwa ulifuraia hicho kitendo kichafu.And why now.
 
 
 
 
Si umwabie umegundua bila yeye hauwez kama ulivyoandika?Yeye si ndo huwa anakuboost?
 
 
a man who fears is weak and is a slave..so ur one of them..ila jitahid umuombe msamaha...then lia jicho moja litoe chozi wkt lingine ni kavu kama bundi..lazima atakusamehe..tu..amini hivyo..bwana slave..
 
 
kama kweli amekufanyia kitendo kichafu sana uamuzi wako wa awali ni sahihi, lakini kama ametambua kosa na kakuomba msamaha msamehe, cha msingi ni kwamba atambue kosa alilofanya na a-promise kutokurudia tena ila ukilazimisha kurudiana naye pasipo kusolve hilo tatizo elewa kwamba unampa go ahead ya kurudia kosa kama hilo au zaidi ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…