Kama ww ulikuwa unataka love affair ndo wakati wake huo au unataka uambiwe kitu gani hapo kaka
Aiseeeee sasa huyo msichana amesha kubali.
Mda mwingine watu hupenda kua second choice!!so if you able to handle that Go ahead!! but what if wewe ni huyo Boyfriend wake!!
You're not a bad influence at all..what has to be done gotta be doneWatoto wa kishua na nyie bwanaaaaaaaaaa! Ndo maana tunawachuna hadi mifupa! Mmekaa kifogo fogo!
Yaani usipojiangali you wont get any hadi ugonge 28! TIMES HAVE CHANGED! Siku hizi you take what you want! I bet hapo unangoja hadi Manzi akwmbie im ready for you today! Tafuta room nikakupe! Msheeeeeeeeeew!!!!!!!!!! Utangoja sanaaaaa!
Embu someka kidigitali! Tengeneza mazingira, anza huo mchezo wenu wa baba na mama, ikianza wet kiss komaaa upewe mambo hayo! Even if it will involve you to beg! Jst beg, persuade, trick whatever gets you laid man! You are pathetic!
Ukishampiga dushelele heshima itarudi na atakuwa hakuadisii ishu za bwana wake tena! Stop being a doll and taken advantage of! Kama joka la kibisaaaa! You are a disgrace to Digital Mnakind!
Jipange ule vituz hivo, maisha ni leo kesho majaaliwa!
Im a bad influence to society and i know! You dont have to reap tellin me! Thank you all!
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.
una maana gani ndugu? Niweke wazi tafadhali.