Mchafukoga
Member
- May 25, 2013
- 38
- 3
Habari za leo waungwa. Siku za nyuma niliomba ushauri hapa kuhusu uhusiano na mpenzi wangu, mawazo yenu nimeyafanyia kazi ila kinachonishangaza bado ninapatwa na maumivu ya kichwa ninapofikiri kumtema moja kwa moja.
Nifanyeje?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nifanyeje?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa.
Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums