Nifanyeje?


pole sana..mimi naona itisha kikao na wawepo hao watoto wote na uwaeleze ubaya wa matendo yao,uwape muda wa mwezi mmoja wa kubadilika na ukiona mwezi umeisha lakin bado hakuna mabadiliko waachie nyumba ww mchukue mama uishi nae.Huyo mkubwa wa diploma anaweza kuangalia wenzie,msaada uliotoa unatosha wasijekumdhuru mama yako pia na wema wako ukageuka mwiba kwa ndugu zako wa tumbo moja maisha yote.
 
we jamaa unamkosea sana mama yako ila ww hujujui bado, yaan umeniudhi sana
kumpa mzigo mama wa watu kisa nini? Kama vp c ukae nao hao ndugu zako.....muache mama apumue banah!!!!!!!!!!!
 
ndg yangu dunia hii tenda wema nenda zako.So fukuza hao mb.wa. lasivyo watamuua mamayo kwa mawazo!..ww ni mwanaume waweza mchukua kabsa mamayo ukaish nae 4the rest of her life.Ni hayo2 mkuu
 
Unampa mama mateso asiyostahili,mchukue ukae naye.
Naamini Mna ndugu kwa baba na hao watoto wana ndugu wa mama yao,kaeni kikao cha familia kabidhi hao watoto waambie utalipa ADA shule ila watakula nini familia iamue. Wakimaliza shule unanawa mikono.
 
huyo wa veta fukuzilia mbali mwambie aende akatafute maisha yake huyo wa sec mtafutie boarding hapo abaki wa std six. mama yako ameshateseka sana wakati bb yk alipomwacha embu mpe uhuru amalizie uzee wake kwa amani jamani. huo wema wako ni mzuri lkn uwe na mipaka wangekuwa na adabu kweli watawasumbua maisha yenu yote. inaonekana wamelelewa kwa chuki.baki na huyo mdogo tu
 
Pole sana kk ila cha msingi mtoe kwanza mama yako kwenye nyumba umuhudumie prke yake hao watoto piga chini coz ndo walikuwa chanzo cha matatizo yako c mzee ana watoto wa nje ambao walituletea shida sana enzi hizo kiukweli hatuwatambui c tunaendelea na maisha yetu
 
unatakiwa kufanya maamuzi magumu sana ujue kila la kheri na mungu akutangulie
 
kaka pole sana tena sana maaana naisi hata mambo flani ayaendi vyema. Ni ivi jaribu kwenda kwa mama uongeee na wadogo zako ujue mama nae hatakiwi hapate tabu kwakuwa ashakuwa mtu mzima sana sasa ongea na wadogo zako na mama nakuomba utumie ujasiri sasa wakumtoa pale nyumbani ao huduma zao zitaendelea kama kawaida sema wasije wakuza na iyo nyumba ilo ndio langu
 
Wapeleke kwa mashangazi zao yaan upande wa baba yako, yaan wewe mvumilivu hongera kwa hilo, mm nisingoweza jaman nani kama mama sembuse hao intruder mpfyuuuuu
 
mkuu kwanza pole sana na misukosuko hiyo,cham msingi ni kwamba ndugu ni ndugu tu haijalishi ametoka katika tumbo gani,naamini paka wamekuwa na uwezo wa kutukana basi ni wamekuwa na wanjua nn wanafanya kwaiyo sasa wewe ukiwa mkubwa unawajibu wa kuwaita na kukaa nao friendly kama ndugu wakati huo huo kama rafiki jaribu kuwaeleza namna unavyoumia na jinsi wanavyofanya na waambie tu ukweli haupendezwi na hiyo hali so unawataka kubadiklika na wanapaswa kumuheshimu mama kama mama yao mzazi,fanya hivyo ukiona hawataki jirekebisha basi hilo ni gunia la misumali watafute ustaarabu mwingine.vilevile kumbuka kwamba ur mama ata the age of 70 ni miaka mingi sana na akili inakuwa kama mtoto so tatizo linaweza kuanzaia hapo pia so na unawajibu pia wa kuwaambia hilo hao madogo.all the best
 
We jamaa una Moyo wa Ajabu sana aise hongera sana na Mungu akujalie sana,

Mi kwa Akili zangu navyo zijua na namna navyo mkubali B mkubwa, Kitambo ningesha korofishana na hao Vijana.
 
Ahsante dadaangu lakini nimeshaongea nao sana lakin naona hawabadiriki ndo maana nimekuja hapa na ushauri nitakaoupata hapa nautekeleza kuanzia kesho.

Ss unasubiri nn km Umeshaona hawavadiriki?
 

wapangir mbali na mama aisee...wanashida ao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…