Nifanyeje?

samahan kwa makwazo ujue wabongo hatjui vyote,kisw 50 na kingereza 50 nksema niandke lugha moja naweza andka vpande(broken)
 
Pole sana but usijali cause maisha bado yanaendelea, umesema una mtoto wa miaka mi3 na the good thing una kazi yako sioni sababu ya wewe kuendelea na huyo mwanaume maana atazidi kukuumiza..endelea na maisha yako am sure you can stand alone..
asante sana.
 
Hao ndo wanaume wa kiswahili mama,baba yetu mmoja mama yetu mmoja,we vumilia tu mama.
 
Pole ma dada, usiendelee kuumia kwenye hakuna, coz hata ukiendelee kuvumilia mwisho wa siku utakuwa ni wakulia na Lovestress kila mara. Move on my Sisy.
 
Kitu kimoja ninachokijua kwa uhakika ni kwamba hilo janaume ni liongo.............so jiandae kudanganywa kila uchwao.
 
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta. Hii ni situation ambayo imewapata wadada wengi sana. Nafikiri uamuzi mzuri pia unahitajika utoke kwako kwa kuangalia yafuatayo:

1. Ukweli umeupata kwamba mumeo ana mke mwingine, je uko tayari kuendelea kuwa mke wa pili?
2. Je, yeye binafsi msimamo wake uko wapi? Anakutunza wewe na familia yako? Anakujali wewe na jamaa zako wa karibu?
3. Moyo wako bado unampenda?

Ukipata majibu ya maswali hayo yanaweza kukusaidia kufanya maamuzi mazuri.

Pole.
 

They have a daughter of 3 years old together.
 
kimbia faster kaanza upya tafuta wa kwako peke yako hata kama kushare sio kihivyo mtu anakuwa mpaka na watoto na bado anaongeza wengine.
 
sikiliza moyo wako.......
Bado una nafasi ya kuanza maisha yako.....huyo mumeo anaonekana si mwaminifu.....atakusumbua......

Kama umeamua kuanza maisha yako mwenyewe kuwa huru, songa mbele
 

mwanamke bila mwanaume inawezekana lakini si opposite!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…