Nifanyeje

Kwanza kabla hujaenda zaidi fikiria siku unamkuta mtoto wa kaka akimpa KALULUSHI mwanao ndo uajua utamu na uchungu wa hayo unayoyataka.Shinda moyo wako inawezekana
 
Tatizo kubwa liko mbele ya maisha yenu, mi nahesabu mapenzi yako na binamu hayapo baada ya kupata vikwazo toka kwa ndugu ila siku utaolewa naye ataoa na kuanzia hapo mtaanza 'kumegana kisela' na kitakachofuata kwenye ndoa zenu sijui.
 
na yeye binamu alikuwa anasema hvyo hvyo tufanye then tuishie hapo, sasa tukinogewa je? kiukweli kwangu akili inawaza kuvunja nae amri ya 6.
Chakachuaneni tu kwanini ujitese ilhali umeshampenda? Yameshanikuta haya lakin alipotaka kuolewa ckumnyima na uhusiano we2 uliishia hapo kwa sababu wote tulijitambua hatuwez kuoana. Ponea hapo kwa muda wkt unatafuta wa kukuoa, kunoga ni lazima inoge ila ucpige kambi hapo maana haina muendelezo.
 
jamani jamani jamaaaniiiii!
 
Yaani wewe nenda kaliwe tu ila usihamie si unajua binamu nyama hamu? Ndio hamu yenyewe hiyoooooooo ishakujaga.
 
ufanyeje??jichanganye kwa watu,nenda club,mikutanoni kwenye sherehe.....na kwenye mikusanyiko ya watu....utakutana tu na mtu....,upweke tu unakusumbua mpk unampenda nduguyo.
 
Hizo ni tamaa za mwili naa omba mungu uzishinde na wala usijiachie uvunje hiyo amri ya 6 maana utanogewa na bdae mizuka itaisha utaishia kujichukia maisha yako yote
 
Back
Top Bottom