Nifanyeje nikubaliwe na clickbank affiliate network

Nifanyeje nikubaliwe na clickbank affiliate network

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Dah nimehuzunika sana hapa nimepigwa nyundo ya mbavu na clickbank pesa ya mzungu inanipita kushoto.

Kwa sasa nataka nihamie huku affiliate nashuhudia kuna pesa nzito nzito sio hizo dola mia mia za Adsense, Adsterra, Propller ads, n.k unafunga hesabu umechoka hatari.

Tusaidiane namna ya kukubaiwa huku click banks maana mbinu zipo tayari ila kukubaliwa kuingia kuicheza ngoma ndio shida.

UPDATE: NIMEKUBALIWA KUJIUNGA NA CLICKBANK NI RAHISI FANYA HIVI.

1.Sign up na click bank.
2. Ukikataliwa ingia hii link CLICKBANK SUBMIT REQUEST
3. Tuma huu ujumbe ukiambatanisha na passport yako ya kusafiri uiyoscan (sio kuipiga picha)
1584791238992.png
 
Sielewi kitu hapo
Nmetoka kapa kwenye huu Uzi mkuu
Click
😂 😂 😂 😂 😂
Clickbank ni website inayokutanisha wanaouza bidhaa za kidijitali kama vitabu vya kusomea kwenye simu (PDF), software, video, audio n.k hawa wanaouza hizo wameweka bidhaa zao humo ili madalali wawatafutie Wateja wa bidhaa zao kwa malipo ya commission. Mfano nikimsaidia mtu kuuza kitabu chake cha kutunza mbwa kwa dola 100 anaweza kunipa kamisheni ya asilimia 30 ambayo ni dola 30 sawa na elf 60 ya huku bongo.

Kwa ufupi tu ni kwamba wengi tunajiunga huu mtandao kuwa madalali, kuna madalali wapo wanapiga hata milioni 4 kwa masaa endapo akikusanya kijiji kitachokubali kununua bidhaa kwa Dalali.

Hakuna kitu chepesi ila siku zote penye nia panya njia
 
Hivi Njia Bora ya kufanya AM ni lazima uwe na SITE ya peke yake au unaweza kuchanganya na sites zenye matangazo mengine ?
Machozi ya Simba
 
clickbank imekuwa na masharti magumu sana siku hizi.Actually nasikia tu kwa wengine kwamba kukubaliwa ni issue
mimi ninayo ya kwangu niliifungua tokea 2015.Sema nimekuwa mvivu kuitumia
Baada ya kipind kirefu nikajaribu kununua product fulani..kwa kutumia link yangu kama affiliate na ikakubali vizur tu.
ikaweza kuingiza dollar 21.
Pia nimeiunganisha na payonner ambayo nayo siku hizi zina masharti mengi tofauti na miaka ya nyuma.Nimelink hiyo clickbank na payoneer yaani mambo ni smooth.

Pia nikajaribu kulink payoneer na account yangu ya dollar ya equity nayo imenyooka ni kuanza kuifanyia kazi tu..

View attachment 1394673

View attachment 1394674

Machozi ya Simba kama unaamini katika strategies zako ulizoziandaa...na ni kweli unapata ugumuu wa kupata account na imefikia hatua ya kukata tamaa na una ofa nzuri.
Njoo inbox na ofa yako tuyajenge nikuuzie.
Nafanya hivi kwa kuwa nimepata issue ya kunikeep busy so mambo ya affiliate sintoweza kuyafanya.
Mimi nilijaribu ila yamenishinda kwakweli.
Ahsante boss kwa ofa ila tatizo limeshatatulika na kila mtanzania anaweza kujiunga kwa njia niliyoongezea kwenye post yangu ya kwanza, Kumbe haina ugumu wowote kujiunga.......Kifuatacho ni kupiga kazi
 
Ahsante boss kwa ofa ila tatizo limeshatatulika na kila mtanzania anaweza kujiunga kwa njia niliyoongezea kwenye post yangu ya kwanza, Kumbe haina ugumu wowote kujiunga.......Kifuatacho ni kupiga kazi
Adsense imekua ngumu kuipata tangu lini?? anyway nadhani wengi wanafeli kuanzia content zaenye broken english, mpangilio mbovu wa site, maneno machache, kutokuwa concetrated na niche, n.k
 
Mimi nimefungua account juzi imekubali tena kwa simu bila passpoti wala dlicence
~hivi ukishare kwenye fb groups za bongo unapata commission au mpaka za nje kama US,CANADa na EUROPE,ASIA?
 
Back
Top Bottom