kwanza uza smartphone hiyo pili kama unaishi getho la umeme uza deki acha tv na king'amuz ila kisiwe cha dstv tatu kula kiapo na mungu enedapo ukirudia akufanye alitakalo (yan hapo kene kiapo unatoa mwenyewe ya moyon kama akutoe uume wenyewe au mikono ukirudia tena hapo ni ww mwenyew sasa) nne hii sumu ndo ya kunywea maziwa kukaa ndani peke yako haifai hta chembe
mazoez,kujichanganya na watu,kutosikiliza stori za mapenzi nk ni option tu its not necessary