Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 546
Mpaka sasa, ukianzishiwa dawa, unatakiwa kuendelea bila kukatisha. Uliwahi kufanyika utafiti kwa watu waliokuwa na viral load ambayo iko chini ya kiwango ambacho haisomeki, na kusimamishiwa matibabu.Utafiti ulileta matokeo mabaya, yaani wagonjwa wengi waliwapoteza, na ukatupiwa mbali.kisebengo nilishaambiwa kuna mdada alikuwa anatumia arv na baada ya muda cd4 zake zikafika 800 continuous for six month akashauriwa kuacha dawa. je kuna ukweli hapomaana nasikia bado anamonitor cd4 lakini amestabilizi. wataalam watujuze
Mzew Ketengumu tunajaribu kuelezana ukweli wa jambo HIV/AIDS kama ilivyohubiriwa. Kusema ukweli haimaanishi tunasema mwendw kuzini ila uwe na uelewa mzuri hata unaweza msaidia mtu.Iwe ukimwi upo au haupo nabaki njia kuu, watoto wazuri wacha nile tu kwa macho, siwezi kutafuta pesa kwa shida kisha ijeinichomoe roho. Kusoma tu maelezo nimejawa na huzuni je niupata?
mmmmmh! huyo Yesu mnamchosha mwishoe! yaani aache kujitibia au kula vyakula bora ategemee kwa Yesu! mwe!Pole sana dawa ni kwenda kwa Yesu na kumpa maisha yako
Mkuu unafikiri madakitari bingwa hawamo humu? Ungejua Jibu la kweli na la haraka atapata hapa wala usingedhiaka!! japo na udhia ataupata.Hivi, unaacha madakatari bingwa wa MAGONJWA UNAKUJA KUULIZA JF..!!?
Ebu nenda hosp. upate ushauri mzuri huku umekosea, watu wengine bana..
Hivi kumbe na wewe huna akili kiasi hicho? Humu kuna Wataalam wa kila namna, check post # 10!Hivi, unaacha madakatari bingwa wa MAGONJWA UNAKUJA KUULIZA JF..!!?
Ebu nenda hosp. upate ushauri mzuri huku umekosea, watu wengine bana..
Hivi kumbe na wewe huna akili kiasi hicho? Humu kuna Wataalam wa kila namna, check post # 10!
Sisi tunanategemea hutoe ushauri lakin umekuja unafoka kwanini? Au wewe unajua sana? Tueleweshe na sisi ambao hutujui kuhusu ukimwi.Pumbav.. can you get serious & correct medical advice here..? Esp. to a killer disease like AIDS..? shenzi kabisa, ndio maana FOREPLAN walikuwa wanawalia hela wapuuzi kama ww kwa kuwapa energetic drinks and tablets, mkidhania umetibiwa kumbe umepewa temporary energy tu..
Janga kubwa kabisa duniani ni kuwa na IQ ndogo..!! This is SOCIAL MEDIA..!! period..!! watu wanaangamia kwa kukosa maarifa..!! unauliza huku magonjwa serious tena kuhusu jinsi ya kutumia dawa zake na ushauri..? huku JF..? ur dead walking..!! baadae utataka utibiwe hapa JF..!!
Acha ujinga, unachongea kichwa viduku ww
Kwanza kabla kuacha kutumia Dawa za kurefusha Umri aka ARV ujuwe maadhara yake ndipo waweza kuziacha kuzitumiaWana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Mbona naskia alishakufaga miaka zaidi ya 2000 huko....Sasa aende kwa yesu,wapi-UBUNGO?Pole sana dawa ni kwenda kwa Yesu na kumpa maisha yako
Kwanza kabla kuacha kutumia Dawa za kurefusha Umri aka ARV ujuwe maadhara yake ndipo waweza kuziacha kuzitumia
Picha ya Leo: Baadhi ya Madhara ya Dawa za ARV
Picha hii inaonyesha mabadiliko katika kucha yanayoambatana na matumizi ya dawa za kupunguza makali ya Ukimwi.
View attachment 443076
MADHARA YATOKANAYO NA ARVS NCHINI YATAFUTIWE UFUMBUZI WA HARAKA
MADHARA yatokanayo na dawa za ARVs kwa baadhi ya watumiaji hapa nchini yanahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuweza kuondokana na tatizo hilo.
Hivi karibuni, vyombo vya habari vimeripoti tukio la kusikitisha lilitokea mkoa wa Mtwara kwamba kuna mwanaume anayeishi na virusi vya UKIMWI amebadilika maumbile yake na kuota matiti kama mwanamke katika kifua chake baada ya kuanza kutumia dawa za kupunguza makali ya UKIMWI (ARV).
Alipotoa taarifa kwa daktari aliambiwa hali hiyo ni ya kawaida kwa watu ambao wanatumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo kwa muda mrefu.
Sikika imeguswa na matukio yanayotokana na utumiaji wa dawa hizo na kufuatilia suala hilo kwa ukaribu zaidi. Pamoja na baadhi ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI (WAVIU), kutoa taarifa ya kuwa dawa wanazotumia zinawaletea madhara makubwa, bado baadhi wa watoa huduma husika wamekuwa hawachukui hatua yoyote juu ya ubadilishaji wa dawa hizo kwa WAVIU.
Kutokana na taarifa kutoka kwa baadhi ya watumiaji wa dawa hizo wamepatwa na madhara mengi ambayo ni uzito kupungua, mwili kuchoka, miguu na mikono kufa ganzi, mapele, kucha kubadilika rangi kuwa nyeusi na pia baadhi yao kubadilika kimaumbile pindi tu wanapoanza kutumia dawa hizo.
Utaratibu uliopo ni kwamba mtumia dawa hizo anapoona athari zinaanza kutokea anapaswa kutoa taarifa kwa muuguzi wake ili aweze kubadilishiwa dawa nyingine lakini imegundulika kuwa mgonjwa anapotoa taarifa juu ya madhara hayo humchukua zaidi ya miezi sita kabla ya kubadilishiwa dawa na wakati mwingine huambiwa kuwa hali hiyo ni ya kawaida na itaisha.
Sikika pia imegundua kuwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma hizo havina mashine za CD4. Kifaa hiki ni muhimu kwa ajili ya kujua maendeleo ya mgonjwa na kutoa ushauri katika kinga za mwili na pia kuendelea na aina ya dawa wanazotumia. Tatizo hili limeendelea kuwa sugu hasa katika maeneno ya vijijini ambapo WAVIU wanalazimika kwenda mwendo mrefu sana kwa ajili ya vipimo vya hivyo. Suala hili limeonekana wazi katika wilaya za Kondoa na Mpwapwa ambapo baadhi ya vituo vya afya havina mashine za CD4.
Vituo hivyo ni Kisese, Hamai, Songolo, Busi na Kwa Mtoro vinavyopatikana wilayani Kondoa na vituo vya afya vya Kibakwe, Rudi, Mima na Pwaga vilivyopo wilaya ya Mpwapwa.Ukosekanaji wa kifaa hiki kwa kiasi kikubwa unachangia mgonjwa kuendelea kutumia aina ya dawa moja ambayo huenda haimfai tena kulingana na CD4 zake kutojua kama zimepanda au zimeshuka.
Sikika inapendekeza kuwa hatua kali zichukuliwe kwa watoa huduma ambao hawafuati utaratibu wa maadili ya kazi zao. Wizara husika pia iwajibike katika kuwasaidia wale ambao wameathirika kutokana na madhara ya utumiaji wa dawa hizo. Mfumo wa sasa wa kusikiliza matatizo ya watumia huduma uimarishwe ili kupunguza athari kubwa zinazotokana na madhara ya kutumia madawa hayo kutokana na wahudumu wengi kutumia lugha chafu.
Pia serikali inapaswa kuweka mashine za CD4 kwenye vituo ambavyo havina na kuzifanyia matengenezo haraka pale zinapoharibika ili zitumike kuwapima wagonjwa maendeleo ya kinga zao za mwili kabla hawajaanza matumizi ya dawa hizo ili kuondokana na tatizo hilo kubwa. chanzo.MICHUZI BLOG.
Achana na dawa feki za Kurefusha umri nitafute mimi Dr.Mzizimkavu Hauchimbwi dawa nipate kukutibia hayo maradhi yako ya Upungufu wa kinga za mwili aka (Ukımwi) upate kupona. Ukihitaji matibabu toka kwangu .
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS''
Mkuu Nimeshamtibu Mtu mwanamke na amepona amezaamtoto sasa yuko mjini mbeya siwezi kuweka namba yake ya simu hapa mpaka nimpate mtu ambae anataka kutibia ndio nitampa huyo mtu namba yake ya simu niliye mtibia na amepona na kupimwa zaidi ya hospitali 3 mjini mbeya. Sio rahisi ofisi yangu kujaa wateja kwani gharama yangu kumtibia mgonjwa sio bei rahisi.mzizi mkavu mm sikupingi hara kidogo, tangu unaanza kutoa elimu hii ni mda sasa, nsomba kujua:
hivi uliishawahi kumtibu MTU mwenye HIV akapona na vipimo vikadhibitisha?
je kuna MTU humu jf ambae umemtibu aje atoe ushuhuda?
nawaza tu, hivi kama unatibu si ofisini kwako pamejaa watu zaidi ya milioni?
Mkuu Nimeshamtibu Mtu mwanamke na amepona amezaamtoto sasa yuko mjini mbeya siwezi kuweka namba yake ya simu hapa mpaka nimpate mtu ambae anataka kutibia ndio nitampa huyo mtu namba yake ya simu niliye mtibia na amepona na kupimwa zaidi ya hospitali 3 mjini mbeya. Sio rahisi ofisi yangu kujaa wateja kwani gharama yangu kumtibia mgonjwa sio bei rahisi.
Amen RAHivi, unaacha madakatari bingwa wa MAGONJWA UNAKUJA KUULIZA JF..!!?
Ebu nenda hosp. upate ushauri mzuri huku umekosea, watu wengine bana..
Waathirika Hua Wana clinic zao za kuchukua dawa, ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa nyemelezi pamoja na monitoring ya dawa anazotumia, kama zinamdhuru basi anabadilishiwa!Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception