sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Ningekushauri huyo kakayo aende clinic, naamini atapa maelezo na huduma bora kabisa kabla ya kufanya maamuzi ya kuacha dawa zake. Kuhusu kwa nini yeye anao na mke wake hana, hiyo watalamu wanaju nafikiri huita descodant couple.Kuwa mke anao na mume hana au mume anao na mke hana. Utafiti umeonyesha, ingawa hii tuliijua tangu miaka ya 2007, kuwa mtu mwenyekiwango cha chini kabisa virus ni vigumu kuambukiza, na ni zahiri kabisa kwa vile kakayo viral load yake iko chini, ni vigumu kumuambukiza mkewe, lakini haina maana kuwa yeye hana HIV, na kuwacha dawa. Kumbuka sio kuwa unapomuingilia mtu mwenye HIV, na wewe utapata HIV inategemea mambo mengi pamoja na viral load ya mwenye virus. Hii haina mana ujimwage tu, kuwa muangalifu na kufanya hilo tendo bila kinga, Kuhusu kutoka spot na inawezekana na kuwasha, baazi ya dawa za TB inasababisha hilo na hata baazi ya ARV, na mpaka baazi ya magonjwa huwanyemelea watu wenye HIV, husababishaWana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Ningekushauri, ni kurudi clinic au hospitali ambako huwa anapata huduma, kabla ya kufanya maamuzi ya kuachana na dawa. Kuhusu kuwa mmoja anao na mwengine hana, hiyo inatokea sio kigeni nafikiri watalaamu wanaita discordant couple.Wana JF!!