KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Habarini wakuu,
Natumaini mtakuwa salama mimi nina mpenzi wangu tuna miezi sita sasa, ila mwenzangu unilalamikia sana kwamba sina upendo nae , najitahidi kuonyesha upendo kwake lakini nashindwa.
Mambo mengi ya muhimu ananishauri lakini sijali naisi moyo wangu hauna upendo kabisa nifanyaje nipende kama wanaume wengine naisi kama namtesa sana.
Wengine mnafanyaje wakuu