Immano2
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 244
- 195
kuna mwanadada ninaishi jirani nae baas huyu amekuwa ananinyima usingizi kwa kipindi cha nusu mwaka sasa,nimejaribu kutupa mawe kipindi choote lakini wapi
Tatizo yeye anafahamu vizuuri kabisa kuwa mimi ni mzee wa totoz.Sasa mziki upo hivi,wiki hii katika kula hapa na pale nimejikuta nimeambukizwa (GONO)jana mchana nikamuona dr
Sina hili wala lile bidada katinga geto mimi nikastuka
MIMI: mambo vipi
MDADAOA lakini mbona unaonekana kama una wasiwasi?
MIMI :ndiyo sijawai ota kama kuna cku tutakuna kwa ukaribu kias hiki
MDADA;baas usijali ule wakati wa kupewa kile ulichoomba kwa muda mrefu umetimia
MIMI:nashangaa!?
Kidogo kanikumbatia mabusu mara tatu, mara JUMA akaamka
Hapo hapo maumivu makali mara nikastuka Bayb nakuja kidogo niende uani, nafika chooni kucheki (DUDU) bado linatema usaha. Nikarudi kufuta soo hey be tafadhari umekuja cku mbaya hapa nilipo nina safari ya kwenda mwanza kwa mama anaumwa saana,kwa hiyo naomba tuona mwisho wa wiki ijayo nitakaporudi
MDADA:jamani kwani huna muda kidogo kwani nimekuja kukuaga kesho asubuhi tunahama tunaenda (WILAYA)kataja shemeji dada na mimi tunahamia huko
MIMI :nimeduwaa
MIMI:basi naomba namba yako nitakutafuta nikirudi
MDADA:akatoa dakika hiyohiyo nikatoka nje na begi kama nasafiri lakini moyoni naumia ile mbaya