young boy tulia achana na hayo mawazo,assume bahati mbaya unampa ujauzito........ts pretty badWasalaam JF!
Wandugu kuna mdogo wake shemeji yangu yupo home, admittingly jaman huyu binti NAMPENDA kuliko maelezo, nikimwona na awapo karibu najisikia vizuri sana! na ananichangamkia kweli na kiufupi nina mawasiliano nae mazuri mno! nataman sana kumweleza hisia zangu kwake hila naofia kuaribu huu uhusiano uliopo kwa sasa kwani endapo atanichukia kwa kumwambia hisia zangu yaaani kila mmoja pale home atagundua kuna kitu kimetokea kati yetu maana kwa kweli zinaiiva sana na binti huyo ninaempenda....mfano nikitoka kwenye miangaiko yangu ananisalimia vizuri...tabasamu kubwa na vikolombwezo kibao! niko njia panda jamaa kwa mlio na ujuzi nipeni matuit jamaani!
nawasilishe!
young boy tulia achana na hayo mawazo,assume bahati mbaya unampa ujauzito........ts pretty bad
COURTESY, sina mpango wa kumpa mimba maana naelewa situation ilivyo, na ofcourse kuachana nae nahisi ntakuwa sijajitendea haki! yaani kiufupi hadi tumbo linaniuma nikimfikiria!
wapo wengi najua na wazuri kumliko lakin huyu kaingia mtima jamaa, niache tu hivi wakti naumia?!
kijana una matatizo si bure
eti nini??Bwana mdogo,najua hapa hutaelewa ushauri wetu,mbaya zaidi mnaishi pamoja na huyo binti hivyo bado ni rahisi kuingia majaribuni.Ushauri wangu, kama inawezekana badilisha makazi kabisaaa,kama unataka kukimbia zinaa,vinginevyo utajuta siku sijazo
hembu fafanua vizuri huo uhusiano wako na huyo mdogo wake shemejio!
ndo nimtokee au nimpotezee kabisa?
utoto rahawapo wengi najua na wazuri kumliko lakin huyu kaingia mtima jamaa, niache tu hivi wakti naumia?!