samrich234
Member
- Nov 7, 2022
- 43
- 23
- Thread starter
-
- #21
Kaka Madhara ya uvutaji wako WA bange Naona yanatuathiri na wenginekuna zile iphone ukiwasha inaandika android nini nini sijui tafuta zile nunua halafu uweke hizo apps unazotaka mkuu
Nina iPhone 11 Pro wakuu, nahitaji nitumie Apps za Android, nifanyeje? Mwenye uelewa tafadhari!
Kwamba asubirie mpaka 2024 hahaa! Jamaa ana simu 2 kabisa si atumie tu hiyo simu yake ya Android Xiaomi kuweka hizo apps na afanye atakavyo...Subiri mpaka 2024 itaanza hiyo feature ila sijui kama itakuwa universal but all I know ni kwamba EU wameilazimisha Apple kufungua jukwaa lake kwa applications za android pia starting 2024 if am not mistaken.
Haiwezekani kabisa. Uza nunua android au ni app gani ambayo umeikosa kwenye App store ambayo unadhani uko android ila iOS haipo?
Haiwezekani apps za android kufanya kwenye ios, na karibu application zote maarufu ziko iOS kwa maana developers wengi huanza kutengeneza app za iOS kabla ya android.Subiri mpaka 2024 itaanza hiyo feature ila sijui kama itakuwa universal but all I know ni kwamba EU wameilazimisha Apple kufungua jukwaa lake kwa applications za android pia starting 2024 if am not mistaken.
Hiyo haiwezekani mkuu maana sio official na huipati appstore na bado kwenye ios haruhusu kuinstall app nje ya appstore.natak gn WhatsApp coz citak usumbuf kwa raia..
nadhan ww unazijua faida za Gb WhatsApp
Haiwezekani apps za android kufanya kwenye ios, na karibu application zote maarufu ziko iOS kwa maana developers wengi huanza kutengeneza app za iOS kabla ya android.
Labda kama unaongelea kile EU wanacho force apple iwaruhusu developers kuchagua njia ya malipo wanayotaka kuliko kuwalazimisha in apps payments zote kupita kwao kwa kigezo cha ulinzi
Kwamba asubirie mpaka 2024 hahaa! Jamaa ana simu 2 kabisa si atumie tu hiyo simu yake ya Android Xiaomi kuweka hizo apps na afanye atakavyo...
Kifupi analowaza halipo kwa sasa au haliwezekani na kama lipo basi atakumbana na vikwazo vingi kufanikisha kwa sabu sio officially supported na Apple wenyewe....
Tumia Android mtoa mada kuweka hizo lite apps wacha kusumbua akili yako sana.... iPhone endelea kutumia kwa matumizi yako ya kila siku...
Namna bora na ya uhakika ni kununua kifaa cha Android.Gb whatsapp, Facebook lite na instagram lite .
naomba masaada wako chief nawez nikazipataj hizo app kwenye iPhone
Hatujibizani tunaeleweshana, weka fact niweke fact.Natamani sana kujibizana na wewe ila nafsi imegoma.
Kuwa na simu mbili tena zote ni smart ni umama mkuuNina simu mbil sasa nijikoshe ili iweje mzee
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Huwezi kupiga simu au tatizo nini na unatumia iphone ganiNaomba msaada mm mgeni kutumia iphone vitu vingi sielewi naomba ajitokeze mtu nimuulize.Aksante
Shida nini?Naomba msaada mm mgeni kutumia iphone vitu vingi sielewi naomba ajitokeze mtu nimuulize.Aksante
Uraji wa MB[emoji38][emoji38]Boss app yoyte ambayo ni lite maana yake ni ndogo na uraji wake wa mb ni mdogo tofauti na zile app premium.
WhatsApp iliyopo app Store ni ile premium sio Gb . WhatsApp ya kawaida ina madhaifu mengi ndo maana watu wengi upendelea kutumia Fm na Gb