Nifanyeje ili nipate huawei unlock code

Nifanyeje ili nipate huawei unlock code

Ndimbojr14

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
13
Reaction score
6
Yeyote anaefahamu nawezaje pata unlock code za huawei ili simu yangu iwe na uwezo wa kutumia laini yoyote. Kwa sasa natumia tgo tu
 
Kuna jamaa anafungua hizo simu hapa jf. Ukitazunguka kwenye hili jukwaa utakutana na thread yake.
 
Kama upo dar nenda maneno ya mwenge kuna fundi son pale anafanya kwa 10000 tu.
 
Mtoa mada anataka vya bure alisha shindwana na Mwl.RCT.
 
onana na mwalimu mwl R.C.T atakusaidia tatizo hilo
Yeyote anaefahamu nawezaje pata unlock code za huawei ili simu yangu iwe na uwezo wa kutumia laini yoyote. Kwa sasa natumia tgo tu
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anaefahamu nawezaje pata unlock code za huawei ili simu yangu iwe na uwezo wa kutumia laini yoyote. Kwa sasa natumia tgo tu

Kuna jamaa anafungua hizo simu hapa jf. Ukitazunguka kwenye hili jukwaa utakutana na thread yake.
 
Yeyote anaefahamu nawezaje pata unlock code za huawei ili simu yangu iwe na uwezo wa kutumia laini yoyote. Kwa sasa natumia tgo tu

Ni simu yako Huawei mfano gani? Kama unataka kufungua simu yako unaweza kutembelea tovuti hii
Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua simu yako kwa urahisi. Ili kupata code una zilizotajwa ambayo nchi imefungwa sasa, mtandao wa mtoa na IMEI ya simu. Kisha wao kutuma kufungua code kupitia barua pepe
 
Back
Top Bottom