Nifanyeje ili mpenz wangu anisamehe?

Nifanyeje ili mpenz wangu anisamehe?

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habar zenu wana jf,naombeni ushauri kwani nimegombana na mpenz wangu ambae nampenda sana lakini kila nnapomuomba msamaha wala ataki kunisikiliza so nifanyeje ili tuwe kama zamani kiukweli nampenda sana na sitaki nimkose
 
Rafuta majamaa 2 watege cku akiwa amevaa kimin then waanze kumshikashika kwa nguvu bila ridhaa yake alafu wewe utatokea ghafla na kuanza kupamban na hao majamaa then wakimbie ataona unamampenda atakutafuta mwenywww
 
apo wala atujengi ndugu ndo kwanza tunaongeza ufa ili tubomoe kabisa
 
Kama angekuwa anakupenda na wewe angekusamehe,ila tatizo ni kwamba ni wewe tu ndo umempenda,wewe unashindwa kutumia akili ya kuzaliwa,kubaini kuwa mpenz wako atakuwa na mwanaume mwingine anayempenda na sisi wewe,angekuwa anakupenda wala usingepoteza muda kuja JF kuomba ushauri,mapenz ni kitu cha ajabu sana na mara nyingi huwa ni very automatically,wala huwezi kuumiza kichwa eti unaomba ushauri wakati mwenzako hana time na wewe,tumia akili wewe!
 
Huenda ulimkosea sana kiasi kwamba anashindwa kukusamee kwa haraka, endele kumbembeleza atakaa sawa tu!!
 
Ngoja niendelee kumbembeleza ila ikishindikana itabidi iwe bac...
 
Kama angekuwa anakupenda na wewe angekusamehe,ila tatizo ni kwamba ni wewe tu ndo umempenda,wewe unashindwa kutumia akili ya kuzaliwa,kubaini kuwa mpenz wako atakuwa na mwanaume mwingine anayempenda na sisi wewe,angekuwa anakupenda wala usingepoteza muda kuja JF kuomba ushauri,mapenz ni kitu cha ajabu sana na mara nyingi huwa ni very automatically,wala huwezi kuumiza kichwa eti unaomba ushauri wakati mwenzako hana time na wewe,tumia akili wewe!

mapenz mabaya sana!
 
weka sababu ya misunderstnding yenu then from there point of recomendation may begin
 
Endelea kumuomba samahani, na ukisamehewa usimkorofishe tena.
 
1. Mpe hela.

2. Mpe hela.

3. Mpe hela.

4. Mpe hela.

5. Mpe hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom