NIFANYE ZUZU-CHIN BEES

NIFANYE ZUZU-CHIN BEES

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,959
Reaction score
70,712
Ey..
Jamani huu wimbo unanikosha.... Alafu haka katoto kanatoaga nyimbo tamu sana sana sijui km kuna wimbo hauchezeki huu wimbo unachezeka ila sina mashairi yake..mwenye kuweza kuniwekea mashairi tafadhari nisaidie kuyaweka hapa tuunge juhudi za Tanzania ya Viwanda..pia tukumbuke maendeleo hayachagui chama😋😊

Nifanye zuzu uuu nichizike na penzi lako niwe zuzuuuu.....

demi huu wimbo namdediketia mumeo😊...
Uzi umekamilika!
happy sunday
 
😂😂😂 Jamani siujui ngoja niutafute nimpe asikilize
 
Ey..
Jamani huu wimbo unanikosha.... Alafu haka katoto kanatoaga nyimbo tamu sana sana sijui km kuna wimbo hauchezeki huu wimbo unachezeka ila sina mashairi yake..mwenye kuweza kuniwekea mashairi tafadhari nisaidie kuyaweka hapa tuunge juhudi za Tanzania ya Viwanda..pia tukumbuke maendeleo hayachagui chama[emoji39][emoji4]

Nifanye zuzu uuu nichizike na penzi lako niwe zuzuuuu.....

demi huu wimbo namdediketia mumeo[emoji4]...
Uzi umekamilika!
happy sunday
 
Back
Top Bottom