Nifanye nipate wateja?

Nifanye nipate wateja?

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
905
Reaction score
1,410
Wakuu habari..

Nina gari aina ya Alphad, nafikiria niifanyie biashara ya kuikodi, kwenye shughuri mbali mbali,...

Kwa wazoefu, naomba mnipe mbinu za kupata wateja, maana sina experience kwenye hii Field..

IMG-20210828-WA0003.jpg
IMG-20210828-WA0001.jpg
 
Nenda instagram check wale wanaokodisha magari ya harusi then chukua namba zao uwaambie kama una gari. Mara nyingi kwa Alphard inatoka kwa 150,000 - 200,000 kutegemea na route. Mafuta na Dereva ni jikumu lako, ukitaka upate sana tangaza dau la 150,000 tu wala usiwe na tamaa, hapo utapata kazi lakini ukiwa juu kwa dau kazi zitapungua maana gari zipo nyingi sana kwa sasa.
Nb: nimeshafanya hii kidogo naijua
 
Back
Top Bottom