fuma
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 214
- 408
Habari za kwenu wakuu
Mwenzenu nina shida hii,ushauri wenu utafaa sana
Kiufupi ni kuwa
Miaka mingi kidogo nikiwa masomoni huko Dar es Salaam nilibahatika kumpata binti mmoja ambaye baada ya muda tulikuwa wapenzi-tulipendana
Nilimzidi mwaka mmoja kimasomo as in kipindi namaliza masomo,nilimuacha akiwa anamalizia mwaka wake wa tatu
Katika mapenzi yetu tulibahatika kumpata mwanetu-tunampenda,nampenda mwanangu
Nilipata bahati ya kupata ajira kwa nyakati tofauti katika mikoa tofauti hapa nchini,kuna muda tuliishi sote baada ya yeye kumaliza shule,
Unfortunately
Kazi hazikwenda salama sana kutokana na changamoto za hapa na pale katika majukumu hali ambayo ilisababisha yeye kurudi nyumbani kwao kipindi naangalia namna gani tena ya kulitafuta tobo langu kwa mara nyingine
Ilitakiwa kuna kipindi flani nikaofficalize mambo nyumbani kwao,as in kujitambulisha and what not...ila sikuweza kufanya hivo kutokana na sababu nyingi ambazo sikuwa na cha kufanya juu yake- nilifail katika hili
Katika maisha yetu tukiwa pamoja-nikiri kwamba yaliwahi kutokea maswahibu ambayo nilikuwa chanzo chake- kama binadamu nilikosea na nakiri nilikosea na kwa kuyatambua makosa yangu nilikuwa mtu na kuomba radhi sana-si mara moja wala mbili
Ni kwa muda sasa tangu arudi kwao tumekuwa tukishirikiana kumlea mwanetu japo nikiri tena mawasiliano yetu kama wapenzi hayakuwa mazuri kiasi hiko
Tumepitia mengi sana mie na mwenzangu,nikiri tena nilimpenda sana mwenzangu-sana tu,na alinipenda pia-sana,tulipendana...tulifanya mengi na tumepitia mengi-sana tukiwa pamoja
Ila
Majuzi nimepokea ujumbe wake akinieleza ya kwamba hayuko tayari tena kuendelea na tulichokuwa tukikifanya mwanzo,na kwamba kwa kipindi chote hiki ambacho hatukuwa sawa-alishamove on na haoni tena haja ya sisi kuendelea kuwa pamoja.
Mwenzenu nipo kwenye dilemma...sijui nini cha kufanya mpaka niandikapo haya
Nifanye nini,naombeni ushauri wenu...this thing is killing me,sana
Nawasilisha
Shukrani