Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 38
Awatukanaye wachungaji hawachagulii tusi.Bomba Mbili in Dar iko wapi?Wzo la kisima ni zuri zaidi,ila kuna risk ya kupata maji ya chumvi . ukiweza Jenga Kanisa kwani ni hall tu weka viti vya plastic ,mike na spika mbili 3,piga uzio wa makuti halafu Tafuta mchungaji kutoka Kenya yeye atafanya kazi yake mwisho wa mwezi unachukua chako.anyway ukishindwa kabisa usijali NIUZIE mimi ,nikupe mahela. 🙂
Mkuu,kuna Kijana mkikuyu nimeongea naye ,anafanya kazi ya kuhubiri injili na mafanikio anayo,anataka kukodi gari kwa ajili ya kutoa HUDUMA yupo tayari kulipa 40,000 per day.Awatukanaye wachungaji hawachagulii tusi.
Bomba Mbili in Dar iko wapi?Wzo la kisima ni zuri zaidi,ila kuna risk ya kupata maji ya chumvi . ukiweza Jenga Kanisa kwani ni hall tu weka viti vya plastic ,mike na spika mbili 3,piga uzio wa makuti halafu Tafuta mchungaji kutoka Kenya yeye atafanya kazi yake mwisho wa mwezi unachukua chako.anyway ukishindwa kabisa usijali NIUZIE mimi ,nikupe mahela. 🙂
Bomba Mbili in Dar iko wapi?Wzo la kisima ni zuri zaidi,ila kuna risk ya kupata maji ya chumvi . ukiweza Jenga Kanisa kwani ni hall tu weka viti vya plastic ,mike na spika mbili 3,piga uzio wa makuti halafu Tafuta mchungaji kutoka Kenya yeye atafanya kazi yake mwisho wa mwezi unachukua chako.anyway ukishindwa kabisa usijali NIUZIE mimi ,nikupe mahela. 🙂
kama una stress ingi JF. zitaisha tu.
mimi nimepaliwa
Mkuu, kule bado hapajachangamka sana ila kwa kisima ingekulipa hata kama maji yatakuwa na chumvi utapata watu wakujenga, kule watu wengi wanajenga. Maeneo ya moshi baada au kwa diwani ndiyo pamechangamka, ufugaji unahitaji usimamizi wa karibu.
Mcha Fremu ya bidhaaa... jioni funga fremu weka viti vichache bia na viroba..... ulete mrejesho humu...Heshima kwenu wadau.
Nina kiwanja changu kidogo square metre 700 kiko maeneo ya bomba mbili Dar. Nafikiria kitu cha kufanya. Niweke mradi gani hapo? Kufuga naona hili ni kama eneo dogo sana kwa ufugaji. Kujenga fremu pia ni wazo,lakini eneo bado halijachangamka na umeme haujafika ingawa uko jirani n.k, n.k. Niko confused kabisa. Haka ndio ka kiwanja pekee niliko nako katika possession yangu...mimi ni mhanjaji tu kama mtanzania wa kawaida anayefanya vijisaving vyake hivyo wazo la kuanza ujenzi wa nyumba(ya makazi) kidokidogo pia lina ingia kichwani.
N.B Wakati fulani nilifikiria pia kuchimba kisima,ili mradi mawazo ya kila aina
Naomba ushauri wenu.
Heshma kwenu
wasalaaam
N.K