Jando bado linahitajika kwa Vijana wa kileo
Spend that money on ya wife. Wanawake tunapenda sana utumie hela for me. Mi mwanaume anaejenga nyumba kwa future yetu simuoni wa maana kama anaeninunulia jicheni la gold gram 40 au madini! TEAM HATUCHOVYI!
Simply coz nyumba kajenga kwa interest zake zikiwemo bt the gold n minerals he did that interly for me!
Mie sio kijana wa kileo kivile na nimeenda jando la kimakonde. Dunia ya leo iko tofauti na mafunzo tuliopewa jando kuwa mwanaume bora ni yule anayelima kwa bidii na kupata mazao ya kutosha sasa naishi mjini nitalima lami. Jando tupa kule
Kina dada fungukeni watu wabadilishe life style, ndoa nyingi hazina ufanisi kwa ili
nachouliza wala sio maujanja ya kitandani kuna vitu vingine vya nje mbali na kitandani ndio nataka kusikia hapa, nauliza hivi na nime-generalize najua itawasaidia wengi. Kwenye maisha kuna vingi unaweza ukawa unamtosheleza mwanamke kitandani na kifedha ila bado analalamika kuwa huna mapenzi au unakuta anatoka hata nje. Wanawake kuna vitu wanavifikiria sasa ni vp ili uwe mume bora.We! ishia hapo hapo dume la kimakonde lililoenda jando haliwezi kuandika na kuuliza upuzi kama huu. Huna cha jando wala nini we sema unataka maujanja ili usimpoteze yule miss ... hapo utaishia presha tu!
kuwa mume bora ni kumjali mkeo na na kuhakikisha kuwa wafanya yale yote yampayo furaha.
Hakikisha waleti imetuna mda wote na benki atm isome digits za maana!!