cha msingi dumisha mawasiliano na mama,mwache amlee,akishafika 10+ atakutafuta ye mwenyewe.ukileta ujuaji hutampata tena,Mimi sana sana ninachohitaji ni kuwa na mwanangu na kumlea katka mazingira nnayoishi mimi na siyo alelewe huko abroad
Itakua chai hiiKama vile Mahesabu hayaji, chuo ulimaliza 2011, ila ulivomaliza form four ukawa na mtoto, na sahivi ana miaka minne......
Ulisoma chuo kwanza ndo ukarudi o'level?
View attachment 348173
Na hivi sukari hakuna, hata sio tamuItakua chai hii
Umpate wa nini u never cared about him hadi ***** kaolewa,Sasa ndo huyo kashamkimbiza huko kwao..
Unafikiri mkuu hapa ntumie njia gani ili niweze kumpata?
Kuna western union Acha visingizioNingewezaje kumuhudumia wakati alikuwa mbali nami?
Kama vile Mahesabu hayaji, chuo ulimaliza 2011, ila ulivomaliza form four ukawa na mtoto, na sahivi ana miaka minne......
Ulisoma chuo kwanza ndo ukarudi o'level?
View attachment 348173
Wewe ni baba au ni sperm donor??[/QUOTE
Ha haaa Evelyn una vituko wewe!
Hivi mzungu atoe mtoto ampe mswahili amlee katika maisha haya ya kipindupindu, maweeeeee.
Asubirie akiwa mkubwa atakuja kumtafuta.
Ngoma droo hapa.Nadhani na yeye hayupo tayari kuona mwanaye analelewa na mwanamke mwingine. Uchune tuu mtoto atakuja mwenyewe.
Mimi sana sana ninachohitaji ni kuwa na mwanangu na kumlea katka mazingira nnayoishi mimi na siyo alelewe huko abroad
Sasa akituma elfu hamsini ya uji wa mtoto kule norway ile EURO yao ikichenchiwa itakuwa sh ngapi?? Kazi kwelikweli.Wewe si umesema mlikua mnawasiliana? Sasa ulishindwa nini kutuma matumizi? Miaka minne!!!! No matumizi from no where eti namtaka mtoto wangu seriously? Hata yeye hataki alelewe Na mwanamke mwingine sawa.
HahahaaaaaTanzania kuna viwanda vya kuzalisha wazungu ndio maana kuna watalii kutwa wapo kuja kutafuta wazalishaji manake wanaume wengi huko kwao mangese. Kama viwanda vyenyewe hivi Magufuli wazungu watakupenda