Nifanye nini cha Ziada????

Nifanye nini cha Ziada????

mjomba2011

Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
24
Reaction score
7
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.

Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii. Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa. Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).

NIPO KWENYE NJIA PANDA

  • Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
  • Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
  • Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
  • Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
  • WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????
 
Unauliza ufanye nini?

Tayari umeshaamua kutoka nje na kuzaa mtoto mmoja na mwingine anakuja muda si mrefu..!

Mi naona tayari umeshafanya maaumuzi..!!
 
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10,
sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu,
Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.
Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii.
Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa.Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).
NIPO KWENYE NJIA PANDA
  • Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
  • Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
  • Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
  • Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
  • WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????

Kwanza kabisa, acha 'kukimbia-kimbia' nje ya ndoa.
Una hakika gani kuwa huyo mtoto wa nje ya ndoa ni mwanao ?? Angalia sana unaweza kuwekewa mtoto wa 'kichina' a.k.a kanyaboya.
Tulia kwenye ndoa yako, na kwa uwezo wa Mungu utapata watoto ndani ya ndoa yako.
Wingi wa miaka ya ndoa haina uhisiano wowote na kukosa watoto kwenye ndoa husika.
Jikite kwenye maombi, nawe hakika utapata watoto ndani ya ndoa yako.
 
Tunza familia zote 2!kama ni muislam funga ndoa ya 2.kama mkristo huna jinsi
 
mjomba2011 naomba uni PM namba ya waifu wako, nina dawa ya kupaka ya kuleta watoto kwenye ndoa.
Dawa inapakwa usiku kwenye chumba chenye giza totoro, haruhusiwi kusindikizwa na mtu mwingine yoyote.
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.

Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii. Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa. Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).

NIPO KWENYE NJIA PANDA

  • Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
  • Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
  • Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
  • Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
  • WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????
 
Last edited by a moderator:

muulize alishawahi toa mimba mara ngapi?

akikataa kujibu nenda nae kwa hospital halafu uone itakuwaje..
pia inawezekana sperm zako na eggs zake zina reaction kwa hiyo inaharibika soo na hilo mcheki pia..
 
Kaka tafuta wataalamu wa saikolojia uende na huyo mke wako,ingawa nakulaumu kwa maamuzi ambayo umeshayafanya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
dah !nafikiri huyo dada analijua tatizo la yeye kutokuzaa ndio sababu hataki kwenda hospitalini lol hii dunia ione tu inazunguka jamani .wewe cheti chako cha ndoa kinaruhusu ndoa ngapi?tuanzie hapo
 
::
Mwambie una mtoto nje ya ndoa,,
Ukimaliza hilo usifanye chochote.
::
Tunza damu yako (kama una hakika kweli ni mwanao)
::
Kama dini na uwezo wa kifedha unaruhusu uwe na wake wawili,,tangaza ndoa.
=
 
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.

Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia aende hospitali Ugomviiiiii. Katika pita pita zangu nimekutana na dada mmoja kanizalia mtoto,nashindwa jinsi ya kumueleza MKE maana mtoto amepatikana nje,nikiwa tayari kwenye ndoa. Na kilichosababisha niamue kuwa na mtoto nje ya ndoa ni baada ya kutoa mimba zaidi ya 3 kwa huyu bi mdogo(Mungu Nisamehe Katika Hili).

NIPO KWENYE NJIA PANDA

  • Mke wa Ndoa ananiona kama mim naweza nikawa na matatizo ya uzazi,
  • Nina mtoto nje ya ndoa tayari ana miaka 2 na mwingine anaweza kufuatia baada ya musa si mrefu.
  • Dharau,Kiburi anachoendelea kunionyeshea kinanifanya niongeze mtoto mwingine nje ya ndoa,
  • Nimejaribu kumrekebisha harekebishiki
  • WANA JF naombeni mawazo yenu nifanye nin??????
mjomba2011 hizo mimba tatu una uhakika nazo kwa maana ya vipimo? Kama anaweza kubeba mimba ina maana mke wako hana matatizo; chunguza sababu inayopelekea mimba kutoka inaweza kuwa unamfanyiza sana kazi au wewe ni mkali sana kwa mkeo
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu sio kukimbia kimbia,Hadi kufikia hatua ya kuamua kuzaa huko nje,ni Kiburi na maudhi yake,Kitu ambacho wakati wa uchumba hakikuwepo.mpaka imefikia hatua ya kwenda kwa waganga.Nimejitahidi kuwa mvumilivu kutokuongea lakini haisaidii.
Kuhusu uhakika wa mtoto nina uhakika kwa sasilimia zaidi ya 90,kwann nasema hivyo?nimefuatilia siku za dada niliyezaa nae zaidi ya mwaka moja na nusu,mpaka kuamua kuzaa nae tayari alishatoa mimba zangu zaidi ya 3,ilikuwa ikiingia namwambia toa,NIKIWA NAJIPA MOYO LABDA HUMU NDANI ITAKAMATA,WAAAAPI HADI LEO
 
hongera kwa kupata watoto. jitahidi upate kuwatimmizia mahitaji yao yote ya muhimu. kama unaogopa kumwabia wife we mute tu mpaka mambo yabumbuluke yenyewe then akili ya kuihandle hiyo kesi utapata hapo hapo.
 
Miaka 10?......km ni kweli upo sawa, time is the righteous judge, kaongeze watoto hadi wawe watatu ili wareplace wale mlio-abort, naona huyo mwanamke wa ndani ni majanga, nijuavyo majadiliano ndio njia rahisi ya kuweka sawa matatizo ya kwenye ndoa, km hilo likishindikana tunafanya natural justice, yaan hichi ulichokifanya, otherwise utakuja kupata mtoto anakuita babu badala ya baba.........kimbizana na muda mjomba2011!!!!
 
Last edited by a moderator:
mjomba2011 hizo mimba tatu una uhakika nazo kwa maana ya vipimo? Kama anaweza kubeba mimba ina maana mke wako hana matatizo; chunguza sababu inayopelekea mimba kutoka inaweza kuwa unamfanyiza sana kazi au wewe ni mkali sana kwa mkeo[/QUOTE
Ndachuwa.Mimi ni msomi wa degree tena sio moja ndugu yangu,Mimba ninazokuambia sio kwamba ni za mke wangu wa ndoa.MKE WANGU WA NDOA HAJAWAHI HATA KUSHIKA MIMBA IKAHARIBIKA,Hizo tatu ninazokuambia ni za huko nje ila sio kwa wanawake tofauti hapana ni kwamwanamke mmoja
 
muulize alishawahi toa mimba mara ngapi?

akikataa kujibu nenda nae kwa hospital halafu uone itakuwaje..
pia inawezekana sperm zako na eggs zake zina reaction kwa hiyo inaharibika soo na hilo mcheki pia..

kaka hilo nimelifanya,tena nimekwenda kwanza mimi maana nilikuwa nawaza nisije nikawa nawaza nipo fiti kumbe mimi ndio mbovu,nikaenda kupima spams nikakuta zipo nyingi za kutosha,nilichobakiza labda ni kupima DNA ya mtoto hilo sidhani kama linaumuhimu kama nina mpango wa kupata mtoto mwingine Nje.
 
Miaka 10?......km ni kweli upo sawa, time is the righteous judge, kaongeze watoto hadi wawe watatu ili wareplace wale mlio-abort, naona huyo mwanamke wa ndani ni majanga, nijuavyo majadiliano ndio njia rahisi ya kuweka sawa matatizo ya kwenye ndoa, km hilo likishindikana tunafanya natural justice, yaan hichi ulichokifanya, otherwise utakuja kupata mtoto anakuita babu badala ya baba.........kimbizana na muda mjomba2011!!!!
NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza kuona dalili za ushirikina
 
Back
Top Bottom