Nifanye biashara gani?

Nifanye biashara gani?

jibwa

Senior Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
120
Reaction score
57
Nina mil 8 na laki 3 nipo Geita naomba ushauri nifanye biashara gani...
 
Kwanza inabidi ujipime utambue na kuona wewe unapenda nini au u apenda kufanya nini, zen ndo ufanye kile ambacho unapenda au kinashabihiana na unachopenda kwakua utakifanya kwa moyo wako wote.
 
Yaap hilo ndilo la msingi maana kiukweli siri ya mafanikio katika kazi ni kufurahia kitu ukifanyacho@mojax
 
Kuwa broker mkuu, geita ina madini mengi sana
 
Back
Top Bottom