nifanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by oldd vampire, Oct 20, 2012.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nina mpenz wangu na tuna 3 yrs katika relation,wakati tunaanza nliwah mcheat,na akanisamehe,na tukawa vizuri ila sasa ikawa akiwa na tatizo haniambii anawaambia wa2 wengn especialy his brother na unco wake,mm anakuja nipa majibu tu,nliwah kumuliza why yupo hivi alininambia hajanioa wala kuni engage so ataniambia vinavo nihusu,haya kuna vitu aliniahidi kunipa tangu mwaka jana na anavo ila hataki nipa nikimuliza anasema i dont trust you na maybe naeza rudia mcheat ndo mana anahesitate,so kutokana na hayo mm nikaamua kua mpole na ku cop na mzingira,mana hua ananiambia aga kwenu next wik uje nyumbani upajue home kwetu,ikifika hiyo cku ataleta tuu kisingizio,sasa mm nikawa naish nae kwa mazoea,hivi juzi akaniambia hivi hua hujiulizi why hua sikushirikishi?hua huniambii mambo ya maendeleo nikipata hela,yan eti am na secretive,sasa mm nashindwa kumuelewa mana kajisahau kua he has planted seeds of his own destruction,mana mm naanzia wapi kumuliza yte hayo,wakt alishanijibu kua haniamn?anadai kua mm cna hata futre na pesa hata akinipa mana hua simpi ushauri,natamshauri nn wakt kuna watu ambao hua anawasikiliza sana waki mshauri? ,sasa he is putting all da blame on me,nifanyaje?nimekosa amani kbs
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Alisema amekusamehe but hajakusamehe
  tatizo linaanzia hapo....
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ukishapoteza trust ni ngumu kuirudisha. Endeleza uvumilivu, with time atakuamini tena!

  By the way nini kilikufanya umcheat in the first place?
   
 4. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Pole sana dadangu, mimi naungana na The Boss yaani wanaume wengi huwa hawasamehe kiundani juu ya suala la kumcheat. na wala huwa hana imani tena na mwanamke wa aina hiyo, ila wanaishi kuangalia upepo unaendaje! wewe huna haja ya kujutia yaliyotokea lakini huo uhusiano wenu uuangalie zaidi pindi ukielekea hatua ya uchumba and so on!
  kama haoneshi kukuamini tena bora mukubaliane muachane tu, sidhani kama utaishi nae kwa amani siku za usoni!

  Lakini kwa nini ulimcheat! alisafiri au????
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,244
  Likes Received: 12,964
  Trophy Points: 280
  Jamani hata mimi sina msamaha kwa mtu atae nicheat I will only mtafuta mwingine then byeeee

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Hapo kuna tatizo kubwa! Haiwezekani urafiki wa miaka mitatu bila ya wewe kujua hatima yako. Fanya haraka kujua hatima ya 'himaya' yako, kwa kuwa huaminiki. Jiulize, "je nitaendelea kuishi katika uzinzi mpaka lini?". Si kwamba nakuhamasisha umwache ila chukua hatua sahihi na haraka iwezekanavyo.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Vumilia tu dada, ukiona bado mambo hayatulii fanya uamuzi wa kuachana na huo uhusiano.
   
 8. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i cheated because kwanza nilitoka katika mahusiano ambyo i was a gud gal in it,ila mwanaume aliniumiza sana zaidi ya sana yani,na nilipo anza nae alinidanganya khc his life sijui alidhan nimependa hela zake,so nikaona huyu nae ni yuleyule,ila baadae nikaja gundua kua sio ninae mfikiria,wakt ilikua too late nimesha cheat,na huyo nlie cheat nae sio kwamba nlimpenda hapana ila ni stress tuu
   
 9. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nimekuelewa dada, sasa ongea na mwenzako akuelewe bado muda mnao, mambo yanaweza yakaenda sawa, ila pole sana kwa maumivu uliopata mwanzoni, usikate tamaa, best wishes!!!
   
 10. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tanx mathcom
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  oldd vampire, so unacheat kwa ajili ya kulipiza kisasi. So baada ya kumuona huyu katulia nawe umeacha si ndio?

  What if akicheat, will u also do it again?

  Jipende bidada, toa mwili wako kwa unayempenda tu na si kwa kumuadhibu mtu. You are better than that, l am sure.

  Naamini umejifunza the hard way, now have a woman to man talk with him. Mwambie unajua umekosa na inakuumiza sana hicho ulichofanya, na kwamba unajua jinsi gani umejivunjia uaminifu. Mwambie u won't even think of doing something like that coz it was disgusting na unatamani maisha yenu ya kabla ya cheating yalibyokuwa. So kama bado una room kwenye moyo wake, akusamehe na mrudi kama mwanzo; kama anaona hawezi kukusamehe, kuliko kuishi maisha mnayoishi sasa ni better akaku-let go.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tanx nimekuelewa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  miaka 3 haeleweki eleweki? Hebu piga chini huyo mtu....
  Unaposamehe unapaswa kusahau.....
  Akikuoa, ukibeba mimba si anaweza kukwamnia siamini amini kama hii mimba ni yangu?


  Anyway....
  Kaa nae chini mzungumze kwa kituo mfikie muafaka....
  Ikishindikana basi....kwani lazima?
   
 14. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  She don't love you any more, and he has not forgiven you
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Mara nyingi mtu akiumwa na nyoka, siku ingine hata akiona jani anastuka, anajua ni nyoka tena! Kwa sababu hiyo jaribu kumvumilia na kukaa naye karibu mara kwa mara na pia jaribu kuongea naye kwa uwazi umwambie namna unavyojisikia.

  Kama utaona hali haibadiliki, ujue huna future naye, hivyo ni vizuri uanze kuchukua hatua kuliko kung'ang'ania penzi la mateso. Ni ngumu kuchukua hatua hiyo hususani kwa mtu unayempenda sana ila ni vizuri zaidi kuandaa maisha yako ya baadaye ya amani na furaha kwa kukubali kuumia sasa.
   
Loading...