Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
OkMzee Kabla hata sijabalehe
Mkuu inaonekana umebobea kwenye sekta hiyo nimeipenda ulivodadavuakuna kitu kinaitwa FRIEND ZONE umewekwa hapo
badala yake unatakiwa uwe FRIEND WITH BENEFIT
Hapo zinahitajika mbinu za kijasusi la sivyo utakula kwa macho"LAWAMA CHEO"
Njia nzuri ya kutoka kwenye hilo jaribu ni kusoma kwa bidii sana mpaka uitwe "John Kisomo" ..
Hizo tamaa za mwili achana nazo kwa kipindi hiki, hazitakusaidia chochote sana sana utaridhisha mwili kwa siku moja huku ukigombana na Msela wa huyo 'Rafiki wako wa kike'...
Tamaa mbaya, Piga kitabu broo ubukue..HAWA VIUMBE WAPO TU!
Una mkopo?!
Oky nashukuru kwa ushauriTafuta ili labda awe mbadala wa huyu unayempenda sasa
Etiii! ana boy wake! duuh!
huyo wako huyoo usimuache kula papuchi mgee na mkopo kibishi..ukidakwa ndo utajua chuo ulienda kula papuchi za mkopo ama vepeeeee