Nifanyaje nirudishe account yangu ya Whatsapp?

Nifanyaje nirudishe account yangu ya Whatsapp?

Abdul slise

New Member
Joined
Dec 8, 2020
Posts
3
Reaction score
13
Habari zenu,

Naombeni mnisaidie kutatua hili tatizo la whatsap yangu kila nikijiunga wanasema wameiblock nikajaribu kuingia ukurasa wao wa msaada wakanitumia ujumbe kwamba account yangu imeripotiwa. Msaada jaman hapa nifanyaje nirudishe account yangu?
 
Acha kutumia WhatsApp app ambazo sio official kutoka Play store, pia kama unatuma msg za kubuguzi watu bila makubaliano "spam" acha kufanya hivyo. Nadhani kuna sehemu inasemaga Contact support ukipigwa ban mara nyingi wanakufungulia baada ya siku kadhaa ukiomba.
 
Back
Top Bottom