IL Capitano
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 216
- 123
Uwezekano wa kupata cheo upo ndan ya muda mfupi km utapangiwa shule za vijijin....ambavyo viko mbali na miji au senta kubwa...ushaur baada ya kupata kituo omba mwenyewe wakupeleke kijiji kilichombali zaid ktk huo mkoa..hapo unaweza kupata kwasababu ya uchache wa walim waliopo maeneo ya vijiji vya mbali..kingine usiwe na haraka ya kupata cheo huwa kinakuja chenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii..zaidi kuna maeneo hapa nchin watu wakipangiwa hawapendi kwenda ww ndo nenda...utapa idara ya chakula muda mfupi sana