Nifanyaje nifaidi mapenzi nikiwa nae kitandani?

Nifanyaje nifaidi mapenzi nikiwa nae kitandani?

domiii

Member
Joined
May 29, 2014
Posts
72
Reaction score
24
Habari wanaJamiiForums.

Huwa nategemea kuona mwezawangu akipata raha/utamu wakati tunakutana kimapenzi lakini imekuwa tofauti kabisa baada kufanya mara kadhaa.

Kwanza anachoka mapema sana kabla mimi sijamaliza, pili analalamika kuwa anahisi maumivu nikiuliza anadai dushe yangu ni kubwa lakini kiuhalisia ni yakawaida tu.

Naomba kujuzwa mrembo wangu huyu atatibikaje ili na mimi basi nifurahi tuwapo faragha bila manung`uniko au nikawaida.

Ila sidhani.

Nawakilisha.
 
inawezekana una papara ya kupata utamu... fanya maandalizi ya ukweli...

"maumivu yakizidi muone daktari"

Mwanzoni nilifikiri huwa simwandai vyakutosha kumbe la hasha,,, inafika mahala anaitafuta ilipo na kuinganganiza iingie kunako baada yakuona nachelewa yeye akiwa tayar yuko higher... alt labda tumuone dct!
 
Hlw wanajf,
Huwa nategemea kuona mweza wangu akipata raha/utamu wakati tunakutana kimapenzi lakini imekuwa tofauti kabisa baada kufanya mara kadhaa ,, kwanza anachoka mapema sana kabla mm sijamaliza, pili analalamika kuwa anahisi maumivu nikiuliza anadai dushe yangu ni kubwa lakini kiuhalisia ni yakawaida tu,,

naomba kujuzwa mrembo wangu huyu atatibikaje ili na mm basi nifurahi tuwapo faragha bila manung`uniko au nikawaida... ila sidhani!!
nawakilisha!

Ukisema size ya kawaida ndio ipi hiyo?
 
Kuhusu kuchoka mapema hakikisha anafanya mazoezi ili kuongeza pumzi.

Huko kuumia kunaweza kuwa na sababu nyingi, ila kama amekwambia dushe lako kubwa sioni haja ya kubisha bali unatakiwa kuitumia bila kumuumiza yaani kama unatwanga mithili ya mahindi kwenye kinu nenda taratbu kama anaekomba asali kwenye chupa kwa kidole
 
Inategemeana kama huyo mke wako ndo mara ya kwanza kuanza na wewe inawezekana bado hajazoea, kwani kama ni mara yake ya kwanza kuonana na wewe kimapenzi lazima ahisi maumivu mpaka uke wake utake kulingana na ukubwa wa Dushe yako, so uwe mvumilivu mpaka mkewo azoee.
 
Kamuoneni Dr hii hali si ya kawaida. Kila la heri katika jitihada zenu za kujirusha kwa raha zote tena bila maumivu.

mwanzoni nilifikiri huwa simwandai vyakutosha kumbe la hasha,,, inafika mahala anaitafuta ilipo na kuinganganiza iingie kunako baada yakuona nachelewa yeye akiwa tayar yuko higher... alt labda tumuone dct!
 
Kamuoneni Dr hii hali si ya kawaida. Kila la heri katika jitihada zenu za kujirusha kwa raha zote tena bila maumivu.

haha akamuone daktari ampunguze ukubwa wa dushe au (kidding)
 
Back
Top Bottom