"Nifanyaje kwani bado nampenda"

"Nifanyaje kwani bado nampenda"

changwala

Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Nina mpenzi wangu nampenda sana bali hana anachojua kitandani,nimejitahidi kumfundisha zaidi ya miaka 2 sasa lkn hamna improvement yeyote ile.Nikimwangalia huwa namtamani sana lkn linapokuja suala ya ku do si enjoy lolote kutoka kwake.
 
wewe jinsia gani kwanza?
 
Nina mpenzi wangu nampenda sana bali hana anachojua kitandani,nimejitahidi kumfundisha zaidi ya miaka 2 sasa lkn hamna improvement yeyote ile.Nikimwangalia huwa namtamani sana lkn linapokuja suala ya ku do si enjoy lolote kutoka kwake.

Muache tafuta mwingine...
 
Ni kwasababu unamtamani ila ungempenda ungeona anaweza tu na mafundisho yako angeimprove pia.
 
Mkuu maybe tatizo si yeye kutokujua but rather the feelings aren't mutual? i.e. yeye hakutamani wewe sexually 😕
 
Fanya mpango mfunge ndoa ndo atakua mtamu, ana stress za kutaka kuolewa
 
Mlete kwangu unipe wiki moja tu niingie nae fungate la darsa , nina uzoefu na wanawake kama hao.
 
nipe namba yake ya simu nikusaidie kumfunda
 
changwala tutakusaidiaje bila kuweka wazi jinsi yako (ke au me )?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom