Nifanyaje jamani !

Apana this guy here is very ryt k! Jas go as per yo doctrines bt hata kama dini inaruhusu plx let yo wife know bot thiz ok! This also means that u have bin in a close relationship with this lady thus y she is suggesting for marriage
 
Wana jf wakisema mfanye hawara utakubali ? au wakisema mfanye mke wa pili utakubali? Ifikie mahali watu waweze kusimama kwa miguu yao wenyewe sasa huyu mtu kashajiwekea msimamo kuwa hataki kuoa wake wawili na bidada anakomaa. Yeye anashindwa kuwa na msimamo kama mwanaume kuwa hataki tatizo anaonekana hajielewi ndio maana huyo dada kakuokota. Hivi mambo haya yanakuaje jamn?
 

tatzo sio kuoa, je utaweza kuwatunza wote?
 
Ushaonja ndo waja kutaka ushauri? Ungekuja kabla ungeeleweka. Oa tu.
 
Komaa na msimamo wako. Itakuwa unamwambia kwa utani utani ndo mana anakwambia hivyo.

Je huwa unamgegeda na ukimgegeda unakuwa unampa ahadi gani?

Sijawahi kumgegeda hata siku moja na kuhusu ahadi sijawahi kumuahidi kumuoa ila yeye anachosema ni kwamba katika maisha yake anataka kuwa na mimi na ninapomuambia kuwa nina mke anasema yuko tayari kuwa mwanamke wa pili pia ninapomwambia kuwa siwezi kuwa na mwanamke wa pili huwa anasema utake na usitake lazima utanioa.
 
Ushaonja ndo waja kutaka ushauri? Ungekuja kabla ungeeleweka. Oa tu.

wala sijaonja ndugu yangu MESTOD naomba tu ushauri wako ili niweze kulikabili hili tatizo
 

Basi kuwa na msimamo wako pia kaa nae mbali.
 
mbona hapo me sijaona tatizo kama nawewe wampenda muoe2 mbona din yako inakurusu. nibora umuoe mana najua lazima utakuja kumgegeda. sa bola uoe ugegede kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…