Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
namuhurumia mkeo dah!!
c utulie na ndoa yako?
Jamani wana MMU habari zenu,
Waungwana naomba ushauri wenu kwani mimi nimetokewa kupendwa na dada mmoja ambae anasomea nursing na atakua anahitimu mwezi wa sita na amekuwa akiambia anataka aolewe nami, pia anasema kuwa kwa hali yoyote ile lazima atafanya ili kuhakikisha namuoa, kiukweli hata mimi nampenda sana huyu mwanamke ila tatizo ni kwamba nina mke tayari ambae nimemuoa na tumebahatika kuwa mtoto mmoja wa kiume na bado nampenda mke wangu. Dini yangu inaruhusu kuwa na wanawake wa ndoa zaidi ya mmoja, isitoshe huyu mwanamke namuambia kuwa nimeoa ila adai yeye yuko tayari hata wakiwa wawili lakini mimi kwa upande wangu siko tayari kuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Naombeni ushauri nifanyaje?
Komaa na msimamo wako. Itakuwa unamwambia kwa utani utani ndo mana anakwambia hivyo.
Je huwa unamgegeda na ukimgegeda unakuwa unampa ahadi gani?
Yaani seriously Mungu anakwambia oa mke wapili, wa tatu.... dah
Sijawahi kumgegeda hata siku moja na kuhusu ahadi sijawahi kumuahidi kumuoa ila yeye anachosema ni kwamba katika maisha yake anataka kuwa na mimi na ninapomuambia kuwa nina mke anasema yuko tayari kuwa mwanamke wa pili pia ninapomwambia kuwa siwezi kuwa na mwanamke wa pili huwa anasema utake na usitake lazima utanioa.
zina nini?
kamwambie mkeo yote uliyoyaandika hapa ndo atakushauri vizuri cha kufanya
nimekupenda ghafla