Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
nipo mentor nimejaa tele
Kadi yangu ya harusi i wapi!?? au wataka kunchinjia baharini wangu..tumetoka mbali ujue....
nipo mentor nimejaa tele
Nilikuwa kwenye relationship na mtu kwa miaka miwili.kwa kipindi chote nimekuwa nmeridhika nna furaha mvumilivu kumsikiliza kila kitu anachofanya na kumpa sapoti kwa uwezo wangu.
Ikatokea sijui nseme alijiona anapendwa sana alianza kunifanyia vituko ukimpigia simu hapokei ukirudia tena akipokea ananitukana hakuona mara ya kwanza au atakujibu ana mawazo haitaji kusikia sauti ya mtu then akasema anaomba tuachane hana sababu ila anataka iwe hivyo.nimembembeleza anipe sababu ya msingi au atulize akili kama kuna tatizo tujadiliane akawa hanielewi nimekubali kuachana nae simpigii simu kama nlivyoambiwa namsumbua.
hivi karibuni kuna mwanaume mwingine kaja anaonyesha ananipenda ananijali ana kila sifa lakini siko tayari kumkubalia kuwa naye bado namuwaza ex wangu nkiangalia matendo yake na huyu kamzidi ex wangu sihitaji kuwa na uhusiano na ex wangu tena na siko huru kuanza mahusiano na mtu mwingine.Naombeni ushauri wenu nifanyaje
Defeated now. Pole
It sounds like you do still have real feelings for your ex
and you can't or don't want to admit it to yourself.
Think about your decision before making it, ask yourself
"Can I see myself marrying this person!!!!!!!after the abuse(kutukanwa)
Are you defeated or still undefeated? Nawaza tu.