Nifanyaje jamani

Nifanyaje jamani

undefeated

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Nilikuwa kwenye relationship na mtu kwa miaka miwili.kwa kipindi chote nimekuwa nmeridhika nna furaha mvumilivu kumsikiliza kila kitu anachofanya na kumpa sapoti kwa uwezo wangu.
Ikatokea sijui nseme alijiona anapendwa sana alianza kunifanyia vituko ukimpigia simu hapokei ukirudia tena akipokea ananitukana hakuona mara ya kwanza au atakujibu ana mawazo haitaji kusikia sauti ya mtu then akasema anaomba tuachane hana sababu ila anataka iwe hivyo.nimembembeleza anipe sababu ya msingi au atulize akili kama kuna tatizo tujadiliane akawa hanielewi nimekubali kuachana nae simpigii simu kama nlivyoambiwa namsumbua.
hivi karibuni kuna mwanaume mwingine kaja anaonyesha ananipenda ananijali ana kila sifa lakini siko tayari kumkubalia kuwa naye bado namuwaza ex wangu nkiangalia matendo yake na huyu kamzidi ex wangu sihitaji kuwa na uhusiano na ex wangu tena na siko huru kuanza mahusiano na mtu mwingine.Naombeni ushauri wenu nifanyaje
 
Mmmh ngoja nipite nfike hapo kwa jirani kwanza nkirud ntakushaur
 
Mmmh subiri hapo hapo uzeeke. Humtaki kumrudia ex wako mhalafu unasuasua kwa jamaa mpya......shauri zako!
 
Miumenichanganya,
Kama hauhitaji kurudiana na X, na pia haupo tayari kuanza mahusiano mapya!!
Mbona jibu tayari unalo?

Au chagua jibu sahihi hapo chini:-
 
A wrong relationship will make you feel more alone than when you were single.
 
Never ignore a person who loves you, care for you and misses you.
Because one day, you might wake up from sleep sleep and realize that you lost the moon while counting the stars.
 
nenda kwa huyo mpya kama humtaki heri uolewe na yesu
 
Sio kwamba sipendi kuendelea mbele coz nshaona nilikuwa kwenye wrong relationship sina trust kwa huyu mpya labda anaigiza naogopa kufall kwake
 
Nilikuwa kwenye relationship na mtu kwa miaka miwili.kwa kipindi chote nimekuwa nmeridhika nna furaha mvumilivu kumsikiliza kila kitu anachofanya na kumpa sapoti kwa uwezo wangu.
Ikatokea sijui nseme alijiona anapendwa sana alianza kunifanyia vituko ukimpigia simu hapokei ukirudia tena akipokea ananitukana hakuona mara ya kwanza au atakujibu ana mawazo haitaji kusikia sauti ya mtu then akasema anaomba tuachane hana sababu ila anataka iwe hivyo.nimembembeleza anipe sababu ya msingi au atulize akili kama kuna tatizo tujadiliane akawa hanielewi nimekubali kuachana nae simpigii simu kama nlivyoambiwa namsumbua.
hivi karibuni kuna mwanaume mwingine kaja anaonyesha ananipenda ananijali ana kila sifa lakini siko tayari kumkubalia kuwa naye bado namuwaza ex wangu nkiangalia matendo yake na huyu kamzidi ex wangu sihitaji kuwa na uhusiano na ex wangu tena na siko huru kuanza mahusiano na mtu mwingine.Naombeni ushauri wenu nifanyaje

Hapo nilipobold, tayari umem-compare x wako na huyu anayekufuatilia sasa na inaonekana tayari umeshatekwa nyara kwa kiasi kikubwa maana umebaini mapungufu mengi ya x wako ingawa unajifariji kuwa hauko tayari kuanza mahusiano mapya!
Nakushauri endelea kujipa muda, magugu yatajitenga na ngano, kwa lugha rahisi, utapata nafasi ya kupembua chuya kwenye mchele!
 
^^
UAMUZI WA KUKURUPUKA,
Waache wote maana X humpendi na huyu wa sasa hutaki kuanza mahusiano.
..
UAMUZI WA UTULIVU.
Unahitaji muda wa kujitafakari,kupima na kutazama malengo yako ya baadae.Maana upo kwenye kipindi cha mpito ambacho baada ya muda kitaisha na utakuwa huru.
Pole undefeated
Ndio mapenzi ya leo
^^
 
Last edited by a moderator:
What your experiencing is normal after going through a bad breakup. So take your time, do rush or force yourself to this new guy. Tell him you need time and you just want to be friends. If he is meant for you it will work out, if not someone better will come your way. Kwa sasa tafuta hobby mpya, jichanganye na watu, adjust your life style. just avoid thinking about him. In no time itamsahau kabisaa.
 
kama haupo tayari bora utulie tu,give yourself tym to thnk na umjue huyo mpnz mpya vzuri..ucje make mistakes..cz most ppo rush in 2 new relation kwa sabab wanataka kumsahau x,au kuondoa upweke..at the end wanaumia au kuwaumiza wengn..if yur lookng 4 future better 2wait,befriend na huyo mpya,enjoy company,msome vzuri,mshilikishe mungu pia..am shure atakuonyesha kama huyo ndo mume bora aliekuandalia,ucje kubaka ubavu,utasuffer tena.
 
hiyo ya kuwa frend nae sio nzuri...conflicting interests...jamaa anata mapenzi na sio urafiki
 
Sio kwamba sipendi kuendelea mbele coz nshaona nilikuwa kwenye wrong relationship sina trust kwa huyu mpya labda anaigiza naogopa kufall kwake

nadhani ata huyo ex alokuja na gear ya kucare na malove ndio maana ukaingia kwenye uhusiano nae....so ata huyo anaweza akawa anaigiza
 
kama haupo tayari bora utulie tu,give yourself tym to thnk na umjue huyo mpnz mpya vzuri..ucje make mistakes..cz most ppo rush in 2 new relation kwa sabab wanataka kumsahau x,au kuondoa upweke..at the end wanaumia au kuwaumiza wengn..if yur lookng 4 future better 2wait,befriend na huyo mpya,enjoy company,msome vzuri,mshilikishe mungu pia..am shure atakuonyesha kama huyo ndo mume bora aliekuandalia,ucje kubaka ubavu,utasuffer tena.

Wewe mrembo..upo!??

In other news... where art thou BAK mpe lisongi la UNDEFEATED - JASON DERULO
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyie wanawake wa. Siku hizi hamjifunzi maisha kutoka kwa wenzenu. Tafuta kazi ufanye au nenda shule mwanaume akikutaka atakuja kwenu. Majanga
 
kwani we hujuag ile stail ya mguu ndan mguu nje? mapenz ya sikuiz ukujiweka mwili mzima inakula kwako...
 
Back
Top Bottom