Dfn.bikra ni ile hali ya kutowahi kushiriki tendo la ndoa hata cku moja (tendo linalohusisha sehemu ya kiume kuingilia sehemu ya kike) na si vinginevyo.
Kwa msichans bikra inaweza kuelelezwa kwa kuwepo kwa ngozi nyembamba katika kuta za uke ambazo mwanamke huzaliwa nayo hii ngozi laini na kawaida huwa haitoki isipokuwa mpka pale msichana atakaposhiriki tendo la ndoa.
Pia imegundulika ngozi hii nyembamba (kielelezo cha ubikra) huweza kutoka pia kama mwanamke atajihusisha na ufanyaji wa kazi au mazoezi magumu,kama kuendesha baiskeli,stretching miguu na n.k
NB:Bikra inatoka kirahisi kwa njia ya kitu kuingia ndani ya uke na si kutokea ndani kuja nje.