Habar wakubwa....naomba kujuzwa websites zinazotangaza ajira kwa Zanzibar ni zipi kwani office zipo nyingi za kiserikali na za watu binafsi bila kusahau mahotel hapa na sijui nianze wapi kutuma application kwa yoyote anaefahamu anisaidie tafadhali
1.Kama sio Mzanzibar kupata kazi serikalini Zanzibar sahauHabar wakubwa....naomba kujuzwa websites zinazotangaza ajira kwa Zanzibar ni zipi kwani office zipo nyingi za kiserikali na za watu binafsi bila kusahau mahotel hapa na sijui nianze wapi kutuma application kwa yoyote anaefahamu anisaidie tafadhali
Mbna najaribu kukufata pm message hazitoki1.Kama sio Mzanzibar kupata kazi serikalini Zanzibar sahau
2.Kuhusu hizo nyingine ni PM no yako nimpe admin kuna group ya hizo kazi za Zanzibar almost ni Hotel na sekta ya utalii na nyinginezo.
Kama vipi ni pm namba yako ili nikutext WhatsApp Mimi nikituma text hazitoki1.Kama sio Mzanzibar kupata kazi serikalini Zanzibar sahau
2.Kuhusu hizo nyingine ni PM no yako nimpe admin kuna group ya hizo kazi za Zanzibar almost ni Hotel na sekta ya utalii na nyinginezo.
1.Kama sio Mzanzibar kupata kazi serikalini Zanzibar sahau
2.Kuhusu hizo nyingine ni PM no yako nimpe admin kuna group ya hizo kazi za Zanzibar almost ni Hotel na sekta ya utalii na nyinginezo.