Akienda atatoa papuchi halafu jamaaa ni mjanja kweli eti anamuachia nyumba nzima ili demu ajue jumba looote la kwake...then jamaa akija usiku kuwa safari imeahirishwa amfungulie...then anaomba mchezo lazima apate...wewe Joana mjanja sana mfundishe mwenzio maujanja kama yako...
weee uthithuubutuuuu ,, mwaka 1,, afu anakuja tu nataka anajilizaliza ukaniangalizie nyuma,,, weee shoga yng usiendeee atakutoa kafara huyooo ,, hapo mapenz hakuna tenaa,, kama uwamini nendaa ukapate cha moto
atakupatia pesa kama zawadi !!, yaani nia ya kuomba ule msamaha kwa yaliyopita ilikuwa ni ipi!?, ni ili ukakae kwenye nyumba yake au ni ili msameheane na muangalia kesho yenu inakuwaje....
ila dada yangu kama bado una hisia nae na kama unaona moyo wako bado una matumaini kwake basi mkbalie nenda kakae kwake maana aikirudi mtaanza mahusiano tena, ila kipindi upo kwake chunguza sana muhoji hata huyo house boy na mlinzi wakupe picha kamili ya maisha yake kama anaeleweka au bado haeleweki