Gego Mnete Member Joined Dec 9, 2017 Posts 10 Reaction score 14 Dec 12, 2017 #1 Usiiulize akili yako UMPENDE NANI? Bali usikilize MOYO WAKO UNAMPENDA NANI Maana akili itakuchanganya Lakini MOYO unajuwa haja yake
Usiiulize akili yako UMPENDE NANI? Bali usikilize MOYO WAKO UNAMPENDA NANI Maana akili itakuchanganya Lakini MOYO unajuwa haja yake
Mima white cute JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 740 Reaction score 1,305 Dec 12, 2017 #2 Umenikumbusha ule wimbo wa waraka wa bahati bukuku. Mfalame akamwambia malkia.... Nini haja ya moyo wakoooo Hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia.... Yaaah ni kweli moyo unajua haja yakeee
Umenikumbusha ule wimbo wa waraka wa bahati bukuku. Mfalame akamwambia malkia.... Nini haja ya moyo wakoooo Hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia.... Yaaah ni kweli moyo unajua haja yakeee
Gego Mnete Member Joined Dec 9, 2017 Posts 10 Reaction score 14 Dec 12, 2017 Thread starter #3 Ndo hvyoo
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,858 Reaction score 40,492 Dec 12, 2017 #4 Mi heading sijaielewa bado.