Nielewesheni zaidi kuhusu bachelor of science in social protection

Vw Jr

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
377
338
Habar za mudaaa huu wakuu...
Nimechaguliwaaaa IFM kusomaaa BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION..
ina deal na nin hasaa... Nahitaj ufanunuzi wakui...
 
Nimechaguliwaaaa IFM kusomaaa BACHELOR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION..
Anzia na prospectus yao. Kwa ufahamu wangu mdogo utasoma mambo ya ulinziwa jamii (walio makazini na wasio makazini)-kama insurance na mifuko mingine ya pension, vitu kama hivyo. Angalia hiyo iko umbali gani na kitu ulichotaka kusomea. Kama una multiple selection utafanya maamuzi kama huna basi jitahidi uelewe na kufikiria kuomba tena (sijui itakuwa rahisi kiasi gani)
 
Ahsanteee nimekuelewaaaa mkuu
 
Soma upate degree..kazi jipange vzr kotekote hasa kujiajiri...kitaa kigumu ukitegemea ajira za kuajiriwa.
 
Hata siku moja huwezi Pangiwa fani usiyoichagua na TCU.
Ninachoshangaa inakuaje mtu anachagua fani kimzaha alafu hana uelewa hata kidogo.

Mkuu sikia nikwambie. Najua lengo lako ulikua unataka kua na degree tu haijarishi ya fani gani. Sasa wewe nenda tu katafute hiyo degree
 
Ahsanteee kwa kushiriki... Mkuu
 
Social protection/ hifadhi za jamii;
Nssf
Pspf
Nhif
Bima za magari
Bima za mali
Kikubwa ni kwamba hizo zote zina terms narules zake, percentage calculation nk
So you are going to learn more abt that!
Fursa za ajira na kujiajiri
Ktk kuajiriwa ina fursa kubwa kwani course ni mult base hivyo waweza ajiriwa sehemu mbalimbali na pia wenye taaluma hiyo sio wengi kama fani nyingine!
Fursa ya kujiajiri ni kubwa kwani utajua mambo mengi ya kibiasha ra na terms zake pia itakuexpose on how to protect your bussiness .
 
Back
Top Bottom