Na Kwa Taarifa Yako Tu Na Kwa Faida Ya Wengine Wengi Humu 95% Ya NIDA Staffs Ni UWT ( TISS ) Wadogo Zangu Wawili Mmoja Wa Kike ( Dada Yangu Pekee Kifamilia ) Aliyepo Makao DSTV Kwa Nyuma Na Wa Kiume Aliyepo Ofisi Ya Wilaya Temeke Jirani Kabisa Na Uwanja Wa Taifa Mpya Na Shamba La Bibi ( Kitinda Mimba Wetu Kifamilia ). Ebhana TISS ( UWT ) Wamejazana NIDA Kama Hawana Akili Nzuri ILA Binafsi Naona Ni Mkakati Mzuri Haswa Kutuzuia Watutsi ( Wanyarwanda Hatari ) Kama Sisi Akina GENTAMYCINE Tusije Tukalowea Tanzania. Leo Usiku Huu Najiandaa Kurudi Kwetu Rwanda Na Lifti Ya Ndege Ya Rais Wangu Kipenzi Na Mtukufu PAUL KAGAME..........Kwaherini Watanzania Na Karibuni Nchini Rwanda!