bobycasablanca
Member
- Nov 25, 2013
- 56
- 9
Hata wageni wanapewa vitambulisho vya taifa ila vina utofauti na vya mwananchi wa kawaida na wakimbizi wanaoishi nchini kihalali nao wanapewa pia ila vina tofautiana
Usiwe liji.n.g.a na wewe.Mijitu mingine sijui ikoje,linapokuja suala ambalo ni kwa maslahi ya taifa yenyewe inaleta upu.uzi tu.Idiot!!
ebu nifumbue macho na mimi, kwani ni kosa kwa huyo uliyemwita mgeni kupata id? toa sababu,
kwani huyo mtu akipewa uraia wa tz nida hawapaswi kumpa id? toa sababu pia, au kiingereza kilikupa presha?
Usiwe liji.n.g.a na wewe.Mijitu mingine sijui ikoje,linapokuja suala ambalo ni kwa maslahi ya taifa yenyewe inaleta upu.uzi tu.Idiot!!
Sheria inataka hata wageni wanaoishi Tanzania wapewe vitambulisho vya ukazi (siyo uraia). Kwa hiyo usianze kulaumu bila kuwa na details za kutoshaNdugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
Tafadhali soma link hii>> http://www.nida.go.tz/swahili/index...ula-gravida-vel-tincidunt-ut-pretium-in-dolor
Kama wewe ulishasoma hiyo link nipe jibu simple and clear ili unieleweshe tuendelee na mjadala
Usiwe liji.n.g.a na wewe.Mijitu mingine sijui ikoje yaani. Linapokuja suala lenye maslahi kwa taifa yenyewe inaleta upu.uzi tu ilimradi na yenyewe ionekane imechangia, idiot!
Sawa viitambulisho natolewa kwa raia wa Tanzania, wageni walioishi nchini zaidi ya miezi 6 na wakimbizi. Hii ni kwaajili ya kutambua kati ya raia na asie raia. Pia taarifa za kitambulisho hapo baadae zitatumika TRA, POLICE, UNIVERSITIES, nk., kwa maana hiyo hata wageni na wakimbizi wanahaki za kupata baadhi ya huduma tajwa
OK kwa hiyo hivi vitambulisho ni kwa ajili ya kupata huduma tajwa TU na siyo vya uraia wa nchi ya Tanzania?
Masha hujaieleza vizuri ikaeleweka bali umekimbilia kwenye majumuisho ya kuuza nchi! Mimi nimekurejea tu katika sheria.soma vizuri uelewe hoja ya msingi ni nini.
Vitafanya kazi ya kutambua raia na asie raia. Na pia kuwezesha utoaji huduma mbali mbali za kijamii kwa kutumia taarifa zinazolandana kwa mtu husika. So ni zaidi ya uraia mkuu
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
Masha hujaieleza vizuri ikaeleweka bali umekimbilia kwenye majumuisho ya kuuza nchi! Mimi nimekurejea tu katika sheria.
ndugu mtoa mada we ni uowogo kabisa,kitu usichokijua usiandike kwenye mitandao,Rangi ya mtu si creteria ya uraia na mtu akipigwa picha pia hatua ndogo katika system ya ID production hivyo kupigwa picha si kwamba umepata id ,MAMBO YA KITAIFA HAYA SI YA KULETA MSAHA NDUGU,
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
Mkuu umedanganya. Vitambulisho havitolewi papo kwa papo. Baada ya kujaza details mnasubiri majina yatoke . Majina yakishatoka mnaenda kupiga picha ambapo ukishapiga picha na kuweka alama za vidole mnapewa kijikalatasi ambacho mtaonyesha siku ya kuja kuchukua kitambulisho.
vitambulisho vikitoka unaonyesha kalatasi ulopewa unasaini unapewa kitambulisho. Huo utaratibu wako sijajua ni wawapi. Mtu aje ajaze apewe kitambulisho!? Makubwa.