NIDA wanauza nchi yetu kweupe kabisa

NIDA wanauza nchi yetu kweupe kabisa

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
2,342
Reaction score
2,390
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
 
wanaopiga kazi NIDA now si wale service man wa JKT! now wamekuwa corupted? Poor country
 
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.

Inaogopesha.

Mkuu, ina maana Kinondoni yote inakituo kimoja tu?
Ingefaa basi ungetaja ni kituo kipi hapo Kinondoni wanajihusisha au wamehusika na kadhia hiyo? (Ni maoni yangu tu...)
 
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.

ebu nifumbue macho na mimi, kwani ni kosa kwa huyo uliyemwita mgeni kupata id? toa sababu,
kwani huyo mtu akipewa uraia wa tz nida hawapaswi kumpa id? toa sababu pia, au kiingereza kilikupa presha?
 
Mkuu ungetaja kituo ili wenye mamlaka wafuatilie kama picha ulishndwa kupiga.
 
Nchi karibia zote zenye vitambulisho vipo vya raia na vya wageni ambavyo mara nyingi hutofautishwa kwa rangi.
Labda uwe na uhakika kuwa anapewa vile vya watanzania.
 
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.

Tujielimishe na kujiridhisha kabla ya kupost. NIDA wanatoa vitambulisho kwa raia na wageni waliopo nchini ambao watakaa kwa muda mrefu kwa shughuli maalumu. Hivyo si kila anayapewa ID ni ya uraia. Asante
 
ebu nifumbue macho na mimi, kwani ni kosa kwa huyo uliyemwita mgeni kupata id? toa sababu,
kwani huyo mtu akipewa uraia wa tz nida hawapaswi kumpa id? toa sababu pia, au kiingereza kilikupa presha?

siyo kosa na tatizo si kizungu,ila njia za panya nimesema hata foleni hakusima,pia kama ungemuona ile "lugha ya mwili" na mwisho afisa mmoja alikua akifanya mawasiliano sana ndani mle.Naelewa utaratibu wote wa kupata uraia.
 
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.

Vitambulisho vipo vya aina mbili. Vya raia na wageni. Je alipewa kipi kati ya hivyo?
 
Tujielimishe na kujiridhisha kabla ya kupost. NIDA wanatoa vitambulisho kwa raia na wageni waliopo nchini ambao watakaa kwa muda mrefu kwa shughuli maalumu. Hivyo si kila anayapewa ID ni ya uraia. Asante

Asante ndugu,ila nakwambia niliyoyaona ni mengi na hicho unachosema ni formality tu,je utaratibu unafuatwa.Kwani kuna tabu gani wageni wakefuata utaratibu.Pia elewa hakuna anaesema wageni wasipewe id.
 
Ohoooo!! Sasa hebu specify hivyo vitambulisho vya NIDA ni vya nini haswa?
 
ebu nifumbue macho na mimi, kwani ni kosa kwa huyo uliyemwita mgeni kupata id? toa sababu,
kwani huyo mtu akipewa uraia wa tz nida hawapaswi kumpa id? toa sababu pia, au kiingereza kilikupa presha?

Usiwe liji.n.g.a na wewe.Mijitu mingine sijui ikoje,linapokuja suala ambalo ni kwa maslahi ya taifa yenyewe inaleta upu.uzi tu.Idiot!!
 
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.

Kipande cha Zanzibar, zanzibar Id
Wakati nilipo kwenda kuomba nipo kwenye foleni, akaja kijana mwenye umri chini ya miaka 18 na cheti cha kuzaliwa kipya hakina hata doa kama vile ule mkataba wa muungano ulio letwa bungeni fake eti ulitunzwa miaka 50 lol
Sisi wazanzibari Sote tulitazamana kwanza, kwani mgeni tuna mjua na tunajuana wazanzibari. Basi yule kijana kaenda kwenye muhudumu kajaziwa form bila hata kuulizwa baba katoka wapi au kuzaliwa, akaingia chumba chengine akapigwa picha na kuondoka.
Nilipo fika zamu yangu nikawapatia cheti cha kuzaliwa, masuali yakaanza tarehe yako ya kuzaliwa lini? Wazee wako wamezaliwa wapi? Umezaliwa wapi. Alimuradi usumbufu tu.
Mgeni ana right zote hasumbuliwi wazaliwa ndio hivyo tena
 
Asante ndugu,ila nakwambia niliyoyaona ni mengi na hicho unachosema ni formality tu,je utaratibu unafuatwa.Kwani kuna tabu gani wageni wakefuata utaratibu.Pia elewa hakuna anaesema wageni wasipewe id.

Hilo la kutofuata utaratibu kwa kuonekana yeye ni bora zaidi ya mtu mweusi, huo ni ubaguzi na mimi siungi mkono hata kidogo. nakubaliana na ww pia kuwa nchi imeshaoza katika sekta nyeti na tunahitaji kujirekebisha katika hili. MUNGU ibariki Tanzania.
 
Asante ndugu,ila nakwambia niliyoyaona ni mengi na hicho unachosema ni formality tu,je utaratibu unafuatwa.Kwani kuna tabu gani wageni wakefuata utaratibu.Pia elewa hakuna anaesema wageni wasipewe id.

mimi sishangai hili kutokea kwani tumekalia kuwatolea macho ndugu zetu wanaotaka uraia pacha matokeo yake tumesahau kukaba wageni wanaopata huohuo uraia kwa njia za panya. masikini tanganyika yangu
 
Back
Top Bottom