Miaka inayoyoma tangia zoezi ili lisilojulikana mwisho wake lianze, kila hatua tumepitia, hatua ya mwisho tuliambiwa ni ile ya kupiga picha na kuchukuliwa "fingerprint"sijui ndio nini hiyo, lkn cha ajabu tangia tukamilishe hilo zoezi tuliloambiwa ni la mwisho kisha utaratibu wa kupewa Vitambulisho ufuate, hakuna chochote kinachoendelea, mimi nimepigwa picha na hiyo fingerprint unafika mwaka wa pili sasa lkn hakuna dalili yoyote ya kupewa Vitambulisho hivyo, juzi kuna mtu kanambia watumishi wa serikali wote wamepewa na zoezi lao la kupata halikuchukua hata miezi miwili, hivi hii nchi mbona inaubaguzi wa hatari kiasi hiki!!?, inamana nchi hii ni yawatumishi wa Siri kali pekee?
NIDA acheni double standard, tupeni Vitambulisho vyetu tumechoka kusubiri, ni hayo tu.