NIDA, Mkoa wa Morogoro!!

SUASO

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
770
Reaction score
1,198
Nashukuru kwa huduma zenu pia kwa heshima na taadhima nipende kukushukuru sana ndugu(ofisa wa NIDA) niliyekutana nae Leo pale ofisi ni, NASHUKURU SANA MKUU KWA KUWA MUELEWA NA MUWAZI, MUNGU AKUBARIKI SANA!
Jambo lingine nipende kuwaomba vijana na watanzania wenzangu tujue kwamba dunia hii ni ndogo sana hivyo tusijione wajanja sana nyuma ya keyboard za PC au simu zetu kwa kutukana,kukebei au kudharau watu au ofisi za watu!!
USHAURI; KAMA UNATATIZO AU SHIDA NI VEMA KUTUMIA NJIA NJEMA NA YABUSARA KATIKA KUTATUA TATIZO HUSIKA NA SI KUTUMIA NJIA ISIYOFAA!!
MWISHO, Nashukuru kiongozi kwa ushirikiano na busara zako hapo mjengoni!!!!
 
Unajua NIDA wanalaumiwa bure wakati hawajawezeshwa vya kutosha .

Mtu wa kulaumiwa ni yule anayewalazimisha watz kupata huduma muhimu kama vile kusajiri line,kusajiri kampuni,kuchukua passport kwa kitambulisho ambacho anajua hakiko tayari
 
Mkuu umeongea vema kabisa!
Tatizo ni mamlaka hasa juu kutaka vitu vifanyike pasipo kuweka mazingira mazuri hasa vyombo na vifaa vizuri ili kazi ifanyike kwa ufanisi
Unajua NIDA wanalaumiwa bure wakati hawajawezeshwa vya kutosha .

Mtu wa kulaumiwa ni yule anayewalazimisha watz kupata huduma muhimu kama vile kusajiri line,kusajiri kampuni,kuchukua passport kwa kitambulisho ambacho anajua hakiko tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…